Farasi wanauzwa wapi?

mmmh mimi nikajua farasi kama ngombe tu laki 5 hadi mil 1.......kumbe hela zote hizo..
nyie nunueni hao farasi mimi sina hela sasa hivi
 
Mkuu, achana na kununua farasi. Mfano unaponunua kiVitz kina uwezo wa Farasi 75. So ukimiliki kigari kidogo kama Vitz ni sawa na kumiliki zizi zima la farasi.
 
Mkuu, achana na kununua farasi. Mfano unaponunua kiVitz kina uwezo wa Farasi 75. So ukimiliki kigari kidogo kama Vitz ni sawa na kumiliki zizi zima la farasi.
Yote hiyo gharama ya nini.?
Bora uje huku kwetu "utokoni"
Uje kununua punda mkubwa mwenye afya kwa bei ya laki Moja na nusu.!
 
Inategemea na Farasi ndugu ,Wapo Farasi wanauzwa mpaka dollar laki moja, 100,000 Usd.
 
Ulieurizia faradi miaka mitatu iliopita tupe mrejesho unao wangapi sasa nawashapandana nakuzaliana 🤣🤣
 
Back
Top Bottom