GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,584
- 127,934
Asilimia Zote 100 Kuwa Rais Wa Tanzania Na Nitawashangaa Mno Ninyi Wasomi Msipompigia Chapuo Na Kumchagua". Haya Si Maneno Yangu GENTAMYCINE Bali Nimenukuu Maneno Ya Mke Wa Waziri Wa Utalii Faraja Kotta Nyalandu Pale Alipokuwa Akihutubia Ktk Kilele Cha Siku Ya Kimataifa Ya Wanawake Duniani Mbele Ya Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustine Mwanza.
Nini Maoni Yako???????
Karibuni!
Nini Maoni Yako???????
Karibuni!