Mwisho wa kunukuuMtu anayefanya kazi ngumu hata maamuzi yake ni magumu
Wafanyakazi ni waoga kama nini, Na mimi nashauri hili Fao la kujitoa lirudishwe kwa wafanyakazi wa Migodi pekee, make wengine hawana time nalo na hawajawahi sumbuka kutafuta haki, na haiwezekani wafanya kazi wa Migodi wawahangaikie wafanyakazi wa Tasisi zingine,
Hilo jambo mkuu liko karibu kutokea ,ukifuatilia hata Mh. Jaffu alitembelea wafanyakazi wa migodi tu kwa kuwa wao ndo walipaza sauti kuhusu sheria hii kandamizi,hata tume ya kukusanya maoni ya wadau ilitembelea Geita Mwanza na Shinyanga na kama umefuatilia wafanyakazi hao wametoka Geita mpaka Dsm ili kupaza sauti zao,na kwa tetesi zilizopo ni kuwa waliocha kazi migodini baada ya sheria hii kutungwa wakienda wanapewa mafao yao

wanaweza dhani kuwa wengine hawajali, ukweli ni kuwa we are monitoring the issue closely.
Hata tukiandandamana itasaidia nini? wale wazee wa Afrika mashariki walilala barabarani kabisa na mpaka leo mswaki! kinachotakiwa ni mipango thabiti ya kupambana na mafisadi hawa!
Tanzania ni taifa la maneno matupu.
Ningependa kujua pia hospitali aliyozaliwa jk! Labda walimloga alipozaliwa tu! Si bure!
mkuu waswahili wanasema hata mbuyu ulianza mchicha ikumbukwe wameanza kuingiza jeshi kuzima fujo za watanzania wasio zidi 1000, hii ni ishara mbaya sana kwa serikali zamani ilikuwa ikipigwa bomu la machozi wote nyumbani lakini leo hii ni tofauti kabisa waendelee kutudharau watz..iko siku isiyo kuwa na jina hutoamini kitakacho tokea..
kama ni mid-wife! labda alianguka, au utosi ulibinywa! poor him! asituletee za kuleta kabisa, jamani pigeni kipenga watu tulianzishe!azaliwe hosp alinge..