Wakuu naomba kupatiwa latest updates kama kuna uwezekano wa kupata fao langu la NSSF baada ya kuacha kazi. Nakumbuka serikali dhaifu ilikuja na hoja dhaifu eti ni mpaka nitimize miaka 55 and above wanadhani tunapenda kuwa ombaomba uzeeni. Hoja hiyo ilileta malumbano kadhaa but sikujua kama serikali ilabadili msimamo ule wa kishenzi. Nipeni mistari kama vipi kesho nianze michakato