Fanya uteuzi tupumzike na vituko

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Mkuu,habari za safari,
Pole na kazi ngumu sana ya kulitumikia taifa letu,najua una kazi ngumu sana,wanaosema hushauriki mie huwa siwaelewi,kila ninapoandika uzi hapa jamii forums kusoma ushauri bora umekuwa ukijitahidi sana kuufaanyia kazi.

Mkuu huku wilayani ni vituko kwa kwenda mbele,ma-DC kila kukicha wao na kamera mitaani. Waandishi uchwara ndo muda wao wa kuvuna. Sina hakika na waganga,ila baba kumaliza haya nakuomba ufanye uteuzi wa ma DC haraka tupumue mitaani tafadhali.

Hali sio shwari nakushukuru sana mkuu maana vijana wa Chama chetu nao wamegeuka mitambo ya kufyatua matusi kwa wapinzani. Jitahidi wiki ijayo tupumzike baba maana mateso ya kunywa chai kwa pipi yametosha...
 
Wakuu wa Wilaya kila mmoja ataenda kwa mtu mwenye stock ya Sukari na kujifanya kumchimba biti.Anachohitaji ni Camera ya TV tu .Atajifanya "Naagiza TFDA na TRA wachunguze mara moja".Tayari atakua na sifa ya kuendana na kasi ya awamu ya Tano atabaki.
 
Daa!! Ili uonekane kiongoz bora ktk awam hii ya tano ni easy sana ni kucreate attantion kwenye social media unakua umemridhisha mkuu wa kaya!!!
 
Madhara ya vyeo vya kutamkwa,mitaani hatuna Raha kila kukicha hiki,mara kile u dc utatuumiza jamani
 
Back
Top Bottom