Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.
Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?
Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
na hapo ndo mnapo haribu wadada unakuta mwanaume unahenyeka kuendesha familia then mkeo ana kaz kila siku unaona anabadilisha mitindo ya nywele tu hela yake huioniNi pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.
Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?
Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
Mnatumia feminism kuyakwepa, why mfikirie upuuzi huu sijui km kuna mwanaume wa kweli atakwepa majukumu yake, km hali ya uchumi inaruhusu..!Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.
Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?
Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
Mbona ni asubuhi hii mkuu , mimi mama ntiliye niko kibaruaniSawa lakini ndo kutushauri mida hii?
We hulaliau jamaa kakukera
Nothing is easier than blaming others for your own problems
mwanamke ni pambo la nyumba akipendeza hata wewe roho yako inaridhika. Mwanaume anaejali majukumu yake unampa heshima kama uliyokuwa unampa baba yako ukiwa bado kigoli nyumbani kwenuna hapo ndo mnapo haribu wadada unakuta mwanaume unahenyeka kuendesha familia then mkeo ana kaz kila siku unaona anabadilisha mitindo ya nywele tu hela yake huioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unabeba majukumu yote, wewe ni baba wa familiaKuishi na mwanamke raha sana. Hasa ukiijua akili yake. Halafu, kwa nini nimwambie atoe 50% ya kipato chake? Ndiyo maana niliamua kuoa mama wa nyumbani tu. Kazi yake kuibebisha familia tu, baaaaasiii!
Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
unabeba majukumu yote, wewe ni baba wa familiaKuishi na mwanamke raha sana. Hasa ukiijua akili yake. Halafu, kwa nini nimwambie atoe 50% ya kipato chake? Ndiyo maana niliamua kuoa mama wa nyumbani tu. Kazi yake kuibebisha familia tu, baaaaasiii!
Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
Mnasahau kuwa mwanamke lazima apendeze, lazima caws na pesa ya saloon. Mwanamke akiwa rough nyinyi ndiyo wa kwanza kutafuta mchepuko😡😡NONSENSE😡😡 kwani kuwa mwanaume ni kwenye kutoa hela tu?? kwani we ukitoa hela shida iko wapi?? ila kama wewe ni wa vidume mbadala hata ukiambiwa uchangie 0% bado utarukaruka tuu
good morning to you.
Wanawake akili zao anajua aliewaumba tu. Wao haki sawa iko kwenye mambo mengine ila sio kwenye hela.Kwenye issues nyingine haki sawa.......
Post sent using JamiiForums mobile app
Ukiwa kama baba wa nyumba unatakiwa ujue mahitaji ya familia pesa yetu ni ya kuongezea pale inapohitajika lakini isitegemeweWanawake akili zao anajua aliewaumba tu. Wao haki sawa iko kwenye mambo mengine ila sio kwenye hela.
Kama huchangii chochote ya nini ufanye kazi, kaa nyumbani mume wako atahudumia kila kitu.