Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 186
Wiki ya mwisho wa mwezi wa Saba nilikua namsaidia mteja wangu kufanya process za kuuza Kampuni yake, haya ni mambo ya kuzingatia ukitaka Kuuza Kampuni;
1. Elewa unauza Nini
Kuna mambo kadhaa yanawezwa kuuzwa kwenye Kampuni
1.1 hisa za Kampuni
1.2 Assets au Mali za Kampuni
1.3 Kampuni yote (hisa, assets, debt, credits) etc
2. Fanya tathmini ya Kampuni
Hapa inabidi utafute auditor na valuer wafanye hesabu za kitaalamu kujua net worth ya Kampuni.
Angalia assets, madeni, mikataba etc
3. Andaa documents muhimu
-Certificate of Incorporation
-TIN and Tax clearance certificate
-Audited Financial statements
-Leseni na mikataba
-List ya madeni na assets
4. Andaa mkataba wa mauziano (share purchase agreement-SPA)
Huu mkataba utakua na
-Bei ya kuuza
-Njia za malipo
-Vigezo & masharti
-AOB
5. Kuthibitisha kwa BRELA
Unahitajika kuwasilisha vitu kadhaa Brela
-Transfer of shares form
-Board resolution
-SPA
-Malipo ya ada ya serikali
6. Lipa Taxes
Kuna taxes kadhaa utatakiwa kulipa kama;
-Withholding Tax kwenye sale ya shares
-Capital gain Tax-kama umeuza kwa faida
-stamp duty
7. Hakikisha mambo haya
- cases zilizopo Mahakamani
-Madeni Makubwa
-kuna wafanyakazi wanaodai
-mikataba ya muda mrefu
8. Due diligence
I hope this helps
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara na Kampuni, kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni na biashara unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.