MNEKI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 992
- 1,310
1. Jichunguze wapi mahusiano yako na Mungu hayako sawa.
2. Chunguza ni tabia gani mbaya ambazo umeshindwa kuziacha.
✓ Mambo hayo mawili yatakufanya ukose amani muda mwingi kwa sababu roho yako itakuwa na hofu.
✓ Mambo hayo yatampa kibali shetani cha kukunyanyasa kwa magonjwa na mikosi mbalimbali ilimradi tu aindoe roho yako.
Habari njema ni kwamba Yesu anakupenda na bado anakusubiri umgeukie.
Kutana na nguvu ya maombi yenye matokeo ambayo itakufanya uimarike mwenyewe na umjue Mungu kibinafsi.
Life is too spiritual.