masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,827
- 16,911
Pochi manyoya ni kiungo cha siri cha kike,,hapa mmu ni maarufu kwa jina la papuchi.
duuh najuta kuuliza
Pochi manyoya ni kiungo cha siri cha kike,,hapa mmu ni maarufu kwa jina la papuchi.
baba umesahau kama mwanamke katoka katika ubavu wa mwanamme so ni jukumu lako kutake good care of her ikiwemo mahitaji yake .mambo ya wazazi weka pembeni kama unataka wazazi wamuhudumie geto kwako unampeleka kufanya nn
wataka kuniona nimependeza tu, ili unitambulishe kwa rafiki zako, lakini kuhudumia hutaki lohhhhh. Utahudumia tu. Utajikuta unatoa tu mahuduma bila mwenyewe kujijua yaani, chezea watoto wa mujini weweWakati nampa yeye pesa ya mahitaji wadogo zangu nani anawapa?
||"You were too young to understand"||
Nimeshuhudia level za kipuuzi za kufikiri hapa kwa mleta thread.
Yaani you will go through all that trouble kisa usionge? hayo ni majanga kweli
Unachanel energy zako kwenye perception mbovu kabisa.
Kuwa huru na maisha yako na utatimiziwa jinsi utakavyo
Ila kwenye swala la kuchunwa?????
wenzio wanatoa bila kuombwa acha kulalamika hapa,tafuta huyo ambae atakubali kua mpnz wako alaf usimpe hata sent,eti anakuja kwako papuch umle alaf nauli yake kwenda na kurudi.bidada akikutana na mashoga zake wakimwambia wanavyohudumiwa lazima na yeye atafute wa kumhudumia ukumbuke pia mpenz wako unaetarajia awe mkeo si sahihi kusema unamhonga.
Hahaha..wewe si ulishanikataa..wataka kuniona nimependeza tu, ili unitambulishe kwa rafiki zako, lakini kuhudumia hutaki lohhhhh. Utahudumia tu. Utajikuta unatoa tu mahuduma bila mwenyewe kujijua yaani, chezea watoto wa mujini wewe
Siku hizi ilisha kuwa kama ni lazima kuhonga girlfriend...
Pata mkasa kamili hapa
Kutegemea kuchuna ni sunami.....
ni lazima niwe mbahili my wife.ili wewe upendeze. Si unajua michepuko wanachuna sana.Ubahiri unakusumbua mume wangu