Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,014
- 177,320
Unapenda vya kupewa eti??
Huyo mpenzi wako ni wale mabachelor wanaoishi nyumbani wakihesabu tarehe kuvizia mshara wa mzee utoke.
no anakazi nzuri tu ila ndio amenizoeza ivo nkimwambia anasema muda wa kufanya hayo utafika tu so binti narelax tu