Fanya haya uepuke kuchunwa...

Fanya haya uepuke kuchunwa...

Kisa unaogopa kuchunwa
Mimi sifanyi lolote sio kufua wala kupika na bado Ananipa hela
Anajuwa lazima anipe balance ya kuzugia hapa na pale..

Unafikiri unazo sababu za kupewa hela??
 
Naongea na wale ambao tayari wamesha jitegemea kimaisha, ambao hawaishi na wazazi wao, wanaokumbana na mkono wa Mama/Baba mwenye nyumba kila baada ya miezi sita mitatu au mwaka..

Wanaoishi ki-bachelor lakini wana wapenzi.

Katika hii movie ya ki-bachelor tunakumbana na mengi sana,,kuna wanaogeuza ma girl friend zao kuwafanya kama mke,,tabia ya aina hii imepelekea na wao kugeuzwa kama waume,,hapa unakuta kila kitu girlfriend anakutegemea wewe akipata kashida kidogo ooohh baby nataka hela..

Mazingira ya kuchunwa tunayatengeneza wenyewe usianze kumhisi binti wawatu ni mchwa,,jichunguze kwanza na wewe kinachofanya akunyoshee mkono.

Ukiweza kuyamudu mambo yaha hakika hautayachukia maisha ya ki-bachelor na kumgeuza girl friend kuwa mke, na yeye pia atashindwa kupata ujasiri wa kukutegemea kiasi fulani labda tu kama nitabia yake..

1. Kujipikia
2. Kufua
3. Usafi wa vyombo.
4. Usafi wa chumba.

Ukiweza kukabiliana na hayo pasipo kutegemea msaada kutoka kwa girl wako utayafurahia sana maisha ya ki-bachelor,,na swala la kuoa kwako utaliamua kwa wakati muafaka, ila sio kwa kuwa unahitaji msaidizi.

Ebu fikiria labda girlfriend wako anakuja kukusalimia siku ya mapumziko, anakuta chumba chako umesafisha vizuri vyombo viko katika mpangilio mzuri,,umefua nguo zako na mashuka,,huku na huku haujachoka kuna akiba ya mchele,,unawasha kajiko kako unapikia wali na unaandaa mboga yani kila kitu unaweka sawa kisha unapakua kwenye hotpot yako, basi akija mnakula kama atapenda,,baada ya chakula mnaendelea na mambo yenu,,kusanya vyombo vyako akiondoka unaviosha.

Kumbuka kufanya hivyo hakuondoi uanaume wako,,jifunze kudhamini vitu vyako girlfriend hajawahi kukununua hata kijiko vyote umenunua kwa pesa yako,,ulio itolea jasho kwa kugombania daladala asubuhi uwahi kazini.

Hapo unajaribu kutengeneza mazingira ya kumfanya asijihisi unamtegemea sana zaidi ya kitu kimoja tu nadhani unakijua kwa wale mabachelor ambao mnamiliki kiwanja cha fundi selemara chumbani kwako.

Kama bachelor mwenye akili zako timamu lazima uishi kwa malengo ukijua kesho na wewe utakuwa na familia itaishi vipi kama ukiendekeza kuhonga katika ubachelor wako.

Ishi na mwanamke kwa kanuni kama unavyo fanya hesabu,,baada ya hayo kinachofuatia hakikisha unatumia kiasi kidogo sana cha pesa kumnunulia vitu vidogo vidogo ambavyo havina gharama,,ili mkusahaulisha kiasi fulani auone uwepo wako.

Ila kama wewe sio muoga kama mimi basi unamkazia kabisa,,maana demu nae akishajua unapenda pochi manyoya yake basi atakubabaishia,,,usiwe mtumwa wa pochi manyoya.

Kwa style hiyo binti unasababu ya kumtegemea boy wako???

Na wewe bachelor mwenzangu hapo bado unayo sababu ya kugeuzwa kitega uchumi?????

Haya karibuni kwa michango yenu.........

Labda nisaidie nipate kuelewa mkuu, maana ya kuhonga niijue.... kwani mpenzi wangu akiwa ananipa hela za mahitaji yangu ikiwa sijakua na uwezo Wa kujimudu kipesa hapo ananionga? Na kwann asifanye hivyo wakat ukweli nakua na tatizo la chapaa
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani

Sisi mabachelor hatuna hiyo kuchapiwa.

Hiyo iko kwa wale walio oa!!

Sisi kauli mbiu yetu ukichapiwa na wewe unatafuta mnyonge wako unamchapia kupunguza machungu
 
Ama kweli kizazi bahili hiki,kama vipi tengenezen hata papuchi za kwenu ili muepuke kuhonga!!lo!,kama hamtafanya hivyo hela zenu mtatoa tu tena sana!,chezea power ya mwanamke wewe!!,kwanza sipaswi kukuomba hela ila wewe utajikuta unatoa tu! ni wajibu Wako tang Enzi na Enzi!

Kama mnaona papuchi ndo inakufanya ujione unahaki ya kuhongwa basi wekeni for sale..
 
Labda nisaidie nipate kuelewa mkuu, maana ya kuhonga niijue.... kwani mpenzi wangu akiwa ananipa hela za mahitaji yangu ikiwa sijakua na uwezo Wa kujimudu kipesa hapo ananionga? Na kwann asifanye hivyo wakat ukweli nakua na tatizo la chapaa

Kama hauna uwezo wa kujimudu unawezaje kuwa na mahitaji yatakayo washinda wazazi wako mpaka ukamua kumgeuza boy wako kitega uchumi????

Na wewe unashiriki vipi kuongeza kipato cha huyo boy wako mpaka upate ujasiri wa kumuona anamudu majuku yako????
 
Kama mambo yenyewe ndio hivi mmmh!!! ni kazi sana, wadada wenye wapenzi kipindi hiki mna kazi sana.
Bora wengine tuliokaa pembeni kupunguza msongamano.
 
Kama hauna uwezo wa kujimudu unawezaje kuwa na mahitaji yatakayo washinda wazazi wako mpaka ukamua kumgeuza boy wako kitega uchumi????

Na wewe unashiriki vipi kuongeza kipato cha huyo boy wako mpaka upate ujasiri wa kumuona anamudu majuku yako????

Nakesho uje tena bacherol mwenzangu!!!
 
Kubana saaana matumizi ni dalili ya udumavu wa kusaka pesa, tumia pesa ikuzoee, pesa makaratasi hasara roho.
Mnakaa mnnalinda pesa weeeeee, wakati mioyo na miili yenu mmeiacha sehemu ambazo VVU na heartbreaks vinafika?

Jifunzeni kujua the real big news za mapenzi. Sipendi mwanamme anayehofia kuchunwa, naona ni dalili ya umaskini wa rohoni. Hata wageni wakija kwako lazima uwahesabie tonge na finyango za nyama.
 
Ni ngumu sana kwa mwanamke anayejitambua na anayeamini anakumiliki na ambaye baso mna date aje kwako asijipilikilishe wala kufanya usafi wa geto. Hujui tu kwenye kufanya usafi kuna dhumuni lililojificha. Wanafanyaga na ukaguzi wa chumba kama huwa anaingia mwingine. Wana ishara zao na alama wanazoweka. Hivyo huwezi kwepa yeye kufanya kazi za ndani kwasababu pia anajihisi ana wajibu huo kama mwanamke. Ila hapa siwaongelei wale madem wa make-up mpaka ndani ya jicho na kucha ndefu.
 
jembe afrika siungi mkono hoja wengine sie kuchunwa ni hobby nikiwa na mpenzi asiniombe chochote naweza kuugua hadi kulazwa na drip juu

Leo kanisani nikasikia upendo wa kweli ni kujitoa kama Mungu unatoa sadaka kama mchumba au mke unampa zawadi sasa ndugu hii unaionaje....!
 
Kubana saaana matumizi ni dalili ya udumavu wa kusaka pesa, tumia pesa ikuzoee, pesa makaratasi hasara roho.
Mnakaa mnnalinda pesa weeeeee, wakati mioyo na miili yenu mmeiacha sehemu ambazo VVU na heartbreaks vinafika?

Jifunzeni kujua the real big news za mapenzi. Sipendi mwanamme anayehofia kuchunwa, naona ni dalili ya umaskini wa rohoni. Hata wageni wakija kwako lazima uwahesabie tonge na finyango za nyama.

Una matatizo weekend imekuchanganya.

Eti tumia pesa ikuzoee,,kinachotoka kinarudi???

Tunza pesa ikuzoe..

Tutajitibia kwa hizo pesa mkisha tuachia vvu,,sio pesa nikuhong,e bado na virusi uniachie nikosea hata pesa ya kujinunulia matunda.
 
Kuchunwa/kugharamia kuko fixed hakuna shield
 
Kama hauna uwezo wa kujimudu unawezaje kuwa na mahitaji yatakayo washinda wazazi wako mpaka ukamua kumgeuza boy wako kitega uchumi????

Na wewe unashiriki vipi kuongeza kipato cha huyo boy wako mpaka upate ujasiri wa kumuona anamudu majuku yako????

Mmmmh sio wazaz wote wanauwezo Wa kuyamudu mahitaji ya watoto wao so wapenz wao ndio push factor katika maisha.. mi nafikiri ni vizur kumpa pesa ya mahitaji ili kumlinda na majaribu mengine
 
Back
Top Bottom