Kichaafulani
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 1,295
- 1,276
Nasubiri ya kufanya kwa mke wangu
wewe Beijing haijakuacha salama aiseehiyo ni kuwa mke au mtumwa khaaaa
🙄🙄🙄🙄🙄 Kumbe wewe huwa ni (ke)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mi ni ME kumbuka hapa ni jukwaa la kujifunza so mada kama hii inaweza ikaletwa na mwanaume kama Mimi ili wanawake wa humu wajifunze na hata wewe me unaweza kujifunza kuhusu namna inavyotakiwa ufanyiwe na mke/hawara ako🙄🙄🙄🙄🙄 Kumbe wewe huwa ni (ke)
mada inaongelea mme na sio mchepuko, kimsingi mtoa mada alichokiongea kina ukweli mkubwa ndani yake kama kweli m/mke anaweza kuyazingatia yote hayo, ukifanya yote hayo na bado mme akatoka nje haimaanishi hajakuelewa bali anaweza kutoka kwa tamaa tu lakini bado atakupenda na hata kama ikitokea mkaachana ataendelea kuku-miss na kukukumbuka sana maana sio rahisi atoke tu kwako akutane na mwingine anaejielewa kiasi hicho so pengo lako kwake litaendelea kuwepo na majuto ya kukupoteza, KUMBUKA NDOA NYINGI ZINATEKETEA SABABU YA MWANAMKE KUKOSA MAARIFA NDO MAANA HATA VITABU VIMETUAMBIA KUWA MWANAMKE MPUMBAVU ATAIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE, KWANINI HAIJASEMA MWANAUME????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nacheka kwa dharau, mimi hata unitengee bajeti ya Mil 700 kila mwaka bado nitakutafakari.
Jamani wanaume ni kitu kingine kama haridhiki hata umpe nini bado atakula kona.
mada inaongelea mme na sio mchepuko, kimsingi mtoa mada alichokiongea kina ukweli mkubwa ndani yake kama kweli m/mke anaweza kuyazingatia yote hayo, ukifanya yote hayo na bado mme akatoka nje haimaanishi hajakuelewa bali anaweza kutoka kwa tamaa tu lakini bado atakupenda na hata kama ikitokea mkaachana ataendelea kuku-miss na kukukumbuka sana maana sio rahisi atoke tu kwako akutane na mwingine anaejielewa kiasi hicho so pengo lako kwake litaendelea kuwepo na majuto ya kukupoteza, KUMBUKA NDOA NYINGI ZINATEKETEA SABABU YA MWANAMKE KUKOSA MAARIFA NDO MAANA HATA VITABU VIMETUAMBIA KUWA MWANAMKE MPUMBAVU ATAIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE, KWANINI HAIJASEMA MWANAUME????
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂No 17 imeniacha hoi, nikifanyiwa hayo hata awe kiziwi simuachi.
Njoo unifanyie hayo plz, sawa eh..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja babe..... Hilo huwa napenda haswaaaaa.... Kukumbatiwa hata bila sababu yoyote. Kila Mara na Kila wakati .... I Can do that daily, forever 😁😂Njoo unifanyie hayo plz, sawa eh..
Don't you think that this'd right time to do what you love?Nakuja babe..... Hilo huwa napenda haswaaaaa.... Kukumbatiwa hata bila sababu ya msingi..... I Can do that daily, forever [emoji16][emoji23]
Msikate tamaa mapema hivyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nacheka kwa dharau, mimi hata unitengee bajeti ya Mil 700 kila mwaka bado nitakutafakari.
Jamani wanaume ni kitu kingine kama haridhiki hata umpe nini bado atakula kona.