Fanikisha mahusiano ya mbali. . .

haya mambo yanahitaji imani sana.. kama hauna imani nakwambia utajikuta kila siku unalia yani..!
 
I am glad that our long distance relationship is working out perfectly another one year then probably i will propose a hand for marriage dont let me down after all that we have been thruu..

hayaaaa ndugu wasikilizaji ni liiiiiiiiizy agaaaainst tiiiiiiiiifuuuuuu.....! ting ting ting.......!
 
Thanks Lizzy for the thread...
Nadhani distant relation ina challenges zake na ina raha yake pia. niongelee challenges kwanza...
Watu wengi wameongelea time frame... Isiwe ndio permanent kwamba mmoja akae mgodini Mwanza, mwenzie yuko dar na wanaona ni sawa. Ni muhimu kuweka a dead line kwamba tunakaa hivi hadi tukifaanikiwa kutimiza X-Y-Z ambapo tutakua pamoja tena.
Communication is key. Jaribuni kuwasiliana as much as possible. Msiwe wepesi ku-jump to conclusion. Kuna mara utakua na two different stories, moja toka kwa source (alie na sababu zake kukupa ma information) na moja toka kwa mpenzi wako. Ikiwa mli communicate around/at wakati wa tukio inakua easier kumpa mume wako credit. Communicate often, share your schedules.
Say your love. Kila ukihisi you miss eachother, you love achother, when memories flo, share it. Kumbuka mngekua pamoja unge mbusu, au mnge-cuddle etc. 'when my arms can't hug you, I hug you with thoughts"... and the only way for him/her to feel the hug ni kuambiwa kua he is in your thoughts, so do it and hug him/her.
Kama inawezekana, visit eachother ili kila mmoja apate picha ya mazingira ya mwenzie na challenges involved. aone kwa nini mpenzi wake some times anakua irritated at night times, kwa nini saa zingine hawezi kucommunicate from X to Y time etc, kwa nini support ya rafiki/jirani fulani ni muhimu etc.
We mwenyewe bw faithful and trust your partner is too... innocent until proven guilty, and back him up wakikuletea habari za kijinga.
 
I am glad that our long distance relationship is working out perfectly another one year then probably i will propose a hand for marriage dont let me down after all that we have been thruu..
Hahahaha. ..
I said no promises, kwahiyo subiri kwanza hayo mambo ya mkono sijui wa ndoa.

@D, imani inahitajika kwenye mahusiano yoyote.Bila imani wengie tungebaki kuwa watazamaji tu.

@RR asante mwaya, watu wakizingatia yote hayo mahusiano yao ya mbali yataongeza siku za kuishi.
LIKE yako hiyo hapo.
 
Hilo linaeleweka. . . hata kusoma sio kila mtu anaweza.

Kuwa na mahusiano na mtu ambae yuko mbali requires a lot of discpline, which most people don't have.

Lizzy, kama binadamu wameweza kwenda mwezini basi hakuna linaloshindikana kufanywa na binadamu ali mradi tu kuna discipline ya kutosha ambayo kwa miaka hii wengi hawanayo.
 
@RR asante mwaya, watu wakizingatia yote hayo mahusiano yao ya mbali yataongeza siku za kuishi.
LIKE yako hiyo hapo.
Asante sana Lizzy, hii ni voucher tosha ya kumpelekea mukubwa Invisible aniongezee kwenye idadi ya likes. :)
 
Lizzy, kama binadamu wameweza kwenda mwezini basi hakuna linaloshindikana kufanywa na binadamu ali mradi tu kuna discipline ya kutosha ambayo kwa miaka hii wengi hawanayo.
Kweli kabisa BAK.
Nashangaa sana watu wanaoishi wakiimba haiwezekani, haiwezekani wakati kila kitu ni maamuzi tu.

@RR . . .hahahahaha.Mwambie akuongezee kama kumi na tano hivi maana unanidai nyingine za huko nyuma.
 
Tusidanganyane na kupeana moyo, all I can say
Mapenzi ya mbali ni disaster na kama sio sudden death basi itakuwa silence killer.

Labda tuwe tunaongelea umbali wa kuonana kila wiki, lakini usijidanganye kuwa mbali na mwenza wako kwa miaka.

Nimemaliza na ole wenu mubishe
 
NABISHA mpaka kesho asubuhi.
Labda kama unasema kwa baadhi ya watu na sio kwa kila mtu.
 
uaminifu wa mtu ni mtu mwenyewe...uwe mbali, uwe karibu, kama ni kucheat atakuchiti tu.
Hata ukiwa mpo nae karibu, atakucheat tu.

Watu samtaimu munachanganya madawa bana, Ishu sio uaminifu ishu ni binadamu ameumbwa na udhaifu flani kimaumbile, acheni kudanganywa na mapenzi ya kwenye movie.

Kuna vitu kama temptation na situation, vishaiwishi na vidugushi all in all, mapenzi ya mbali haya work. This is the plain truth
 
Back
Top Bottom