Fancy Nkuhi Vs. Dr. Hildebrand Shayo

Ni nani huyu? Resume yake ikoje mkuu?

ACADEMIC QUALIFICATIONS Academic Qualifications
2011 Certificate in Risk Management for Banks/business: skills achieved on
Course offered by the Bank of Tanzania Headquarters-April 2011, Dar es salaam, Tanzania

2009 Certificate in PPPs Skills and Competence Development: Skills achieved on-

Offered by Institute for Public-Private Partnerships, Inc USA

2005 Diploma in International Environmental Law-Making and Diplomacy and Negotiations, Joensuu Yliopisto University, Finland

2004 Certificate in Resource Planning and Value Chain Analysis, applying Geographical Information System (GIS) in Resource Planning and allocation, Canterbury Christ Church University, UK

2000-03 PhD in Institutional and Resource Economics, South Bank University, UK
Thesis: Performance of Institutions and Regulations application on resources use and supply chain mapping in Tanzania
1994-96 Master of Development Studies, University of Dar es Salaam, Tanzania
1991-93 BA (Hons) in Economics, University of Dar es Salaam, Tanzania

1989 JKT Oljoro-“In take ……Program ya Chama”
1988 “A” Level St. Peters Seminary Morogoro Tanzania PASS: DIVISION. I
1986 “O” Level Apostle of Jesus Seminary, Tanzania PASS: DIVISION. I
1975-81 Kisuluni Shule ya Msingi na Ufundi, Primary School-Certificate

CCM Active member since 1982

HII NDIO CV YAKE
 
Those two cancel each other out!

kama mchangiaji mmoja alivyosema, wewe kinachousumbua ni wivu na roho mbaya. utakuwa na chuki binafsi dhidi ya hao wawili. mimi siwajuhi ila nimeliona hili swala kama kituko. binti katoka chuo, kapewa ukuuu wa wilaya kashindwa. kapelekwa sijui wapi kashindwa sasa atawezaje ubunge tena wa afrika mashariki? shayo ni mwalimu chuo kikuu tena mchumi sasa hao wawili ni wa kulinganisha? nimekuwa nikisoma postings zako, ila ndugu yangu sikufichi. Kati ya watu wenye roho za korosho utakuwa namba wani. yeyote anayekushinda daima haumkubali. tabia zako ni sawa za mange kimambi ambaye mara nyingi unamteteaga, sitashangaa ikiwa wewe ni mange kwa maana tabia zenu zinafanana. Nilileta hii hoja ili tuone haki hiko wapo lakini umenishinda kwa kutanguliza wivu badala ya hoja...sawa shayo ni kilaza ndugu yangu. Sasa na wewe weka uwez wako, kwa maana shayo yake unaifahamu.
 
..nadhani wachangiaji wengi hapa JF have some idea of who Dr.Shayo is.

..Dr.Shayo ameshajadiliwa sana hapa JF kwa vipindi tofauti.

..sasa Fancy Nkuhi ni nani?

..hizi nafasi za ubunge wa EA kwa kweli zinahitaji watu wazito wenye uelewa wa masuala uchumi,sheria,na mikataba ya kimataifa.

..huko tunatakiwa tupeleke vichwa kama Prof.Lipumba,Dr.Kitila Mkumbo,Balozi Mulamula,Dr.Hamisi Kibola,etc etc.

..Mimi nadhani tungesema a minimal qualification iwe ni Masters degree tena inayoheshimika, but PhD would be preffered.
 
[h=1]London South Bank University - Poor ranking prompts attack[/h]

A university has issued a statement on its website arguing that league tables do not "tell the true story" after it was placed bottom in a ranking produced by a national newspaper. London South Bank University, which came 113th in The Independent's guide, said the data and methodologies were "opaque and often flawed". The university said that some areas in which it did best were largely ignored by compilers: those included the part-time students who make up 43 per cent of its student body; its courses in nursing, midwifery and allied health professions; and its support for students with no family history of higher education. LSBU urged students who are considering studying at the university to note that "league tables do not tell our story, and do not demonstrate the value which thousands of graduates have gained from their study here".
 
Kama kuna mtu yoyote anataka kwenda Ulaya akapige boksi kisawasawa na mwisho wa siku apewe degree yake hiki ndio chuo cha kwenda.Wewe mradi uwe unawapa mshiko wao tu.Lakini kama unataka kwenda shule kusoma sio chuo cha kwenda.
 
Kama kuna mtu yoyote anataka kwenda Ulaya akapige boksi kisawasawa na mwisho wa siku apewe degree yake hiki ndio chuo cha kwenda.Wewe mradi uwe unawapa mshiko wao tu.Lakini kama unataka kwenda shule kusoma sio chuo cha kwenda.

babu M,

..but Mosha has two good degrees frm UDSM.

..hivi tumejisumbua kujua hao wengine wana shahada toka vyuo gani?
 
Tatizo la Dr. Shayo ni "me me me me" self proclaimed the King of Ph.D's

So ukimuuliza swali dogo wapi ni kariakoo? ataanza na yeye alikoanza London School of Economics, House of Commons

Dar-es-salaam University, Ikulu for short discussions then kariakoo... angalia wangapi umewaboa na umewalaza na swali

halijajibiwa!!!
 
yaani vituko ni ndani ya CCM. Hivi inaingiaje akilini watu kama Le Baharia LeMutuz na Fancy Nkui waende mbele kwele hatua ya mwisho katika EALA wakati Dr. Shayo anatemwa?? Huyu binti ana nini, au lebaharia wana ujuzi gani kwenda kutetea Tanzania? Ndo maana ardhi yetu itanyakuliwa

Wanabodi bora huyo Fancy Nkuhi kuliko Angela Kizigha ambaye ndiyo ameongoza kwa kura kwa upande wa wanawake ni kilaza balaa.
Tufwile mwana wa kiara............
 
babu M,

..but Mosha has two good degrees frm UDSM.

..hivi tumejisumbua kujua hao wengine wana shahada toka vyuo gani?
Nina kubaliana na wewe;kuna watu wana digrii kutoka vyuo vya kawaida bongo na wanaheshimika sana.Tatizo la Shayo ni kutaka kuheshimika kama "Dr" wa LOndon South Bank University!!!

Ukiona chuo chochote UK kimejaa Wapopo wabeba maboksi lazima kina walakini
 
Tatizo la Dr. Shayo ni "me me me me" self proclaimed the King of Ph.D's

So ukimuuliza swali dogo wapi ni kariakoo? ataanza na yeye alikoanza London School of Economics, House of Commons

Dar-es-salaam University, Ikulu for short discussions then kariakoo... angalia wangapi umewaboa na umewalaza na swali

halijajibiwa!!!
Ni kweli Kasoma LSE??? Kule Facebook kashafuta.

Ikija kubainika hajasoma London School Economics kama anavyotujuza atadharaulika kuliko bandiko la kuibia
 
Soma Comments za baadhi ya waliosoma South Bank
  • Elizabeth 27 September, 2008 I have recently graduated from London South Bank with very good results. Looking at the league tables makes me fear that my results will not be valued by employers as much as it should be.
    I believe that London South Bank is very good in the subject I studied but this is not reflected in the league table.



  • Daz 25 October, 2008 I currently study here and can say for sure that i am not surprised that the university is ranked down the bottom. I can't believe they are even bothering to defend themselves either. Half the staff don't even know what they are teaching and in addition, they take on to many students who haven't got a clue what they are doing. It seems there are no entry requirements for students to attend this Uni. 60% of them can't even speak a standard level of english. Imagine trying to do a degree with those students!



  • KHALID SYED 5 January, 2009
    I'm surprised to see the comments of the university students. I'm worried about the relative who recently got admission here. I believed that it will be a high level university. Tuition fee charged is quite high. It charged some 10.000 pounds for full course and I expected edcation of very high standard, though not the level of Oxford or Cambridge but not to that low level as commented by ex and studying students.
    It is pity that teachers don't attend classes and 60% of students can't speak English properly. Why should not such institution be closed. I'm going to inform people here about the situation asking them to avoid admission in this university.
    I'm going to write to British PM asking to direct the university admnistration to upgrade its standard.
    What I've concluded is that my relative is not going to have any good job aftercompleting his Masters. Pity my RELATIVE. GOD BLESS YOU. Try to move and shift from this university and get fresh admission else where if you make your future bright.



  • Soheil 11 March, 2009 Gosh I was pretty much sure to go and continue my post graduation there after finishing my degree course but after seen these comments I think I would have to look for some where else ?!



  • Ruth Masaba 21 April, 2009 I do not trust any of those bad comments about LSBU. It is one of the best University in London. From the experience of my 5 relatives, they have all succeeded and their all managers in Health and social care settings.
    Some people are just biased and some fail there courses and put the blame on the university yet it is the fault of students who do not put more effort.
    If you want to succeed, get focused, determined and selfmotivated, London South Bank University will make your dream come true. I am considering myself to pursue my career in Socialwork this year if i go through because my life can not remain the same with their high standard education and training.



  • ken 21 April, 2009 After all the talk, the whole community takes a vacation. Talk is cheap.



  • Another post-92 university hitting the dust 21 April, 2009 Not surpised at all. LSBU runs clearing weeks to bus in students from all parts of the globe. LSBU is slightly better than London Met. These are illegal immigrants camps in London. It is time for rationalisation of post-92 universities in London merging them so that we have only 2 post-universities left in London. We are soaking up problems in this small island which is getting crowded and crowded
  • Jona 31 May, 2009 Illegal immigrants camps in London?? I wonder if you are paid to say this or just talk because you've nothing else to do. Teachers who do not turn up? I'm attending a masters there, if someone doesn't speak English perfectly only his/her marks are affected, and that's it. It never happened to me that a teacher didn't show up, they're all experienced and extremely helpful, I've had the best lectures I've ever had there but still, I have not attended all the courses available obviously, so maybe it's a matter of faculty or particular course. Anyway I suggest to go to see with your own eyes, don't listen to people like "Another post-92 university hitting the dust". By the way dude, that's a pretty long name.



  • anikethan 24 June, 2009 these comments are really scary.i have applied for a masters in marketing from this university and looking at these remarks aboutr the university really scares me.somebody please give me a genuine picture.thank
 
Nina kubaliana na wewe;kuna watu wana digrii kutoka vyuo vya kawaida bongo na wanaheshimika sana.Tatizo la Shayo ni kutaka kuheshimika kama "Dr" wa LOndon South Bank University!!!

Ukiona chuo chochote UK kimejaa Wapopo wabeba maboksi lazima kina walakini

Babu M,

..najua kwamba South Bank ni chuo cha hovyo hovyo.

..lakini Shayo alisoma BA na MA UDSM na kufaulu vizuri tu.

..pia anajulikana kwamba alikuwa mwanafunzi mzuri tangu O-levels na A-levels.

..tuweke hiyo PhD yake pembeni halafu tumpambanishe na wenzake tukiangalia rekodi zao kuanzia O-levels,A-levels,1st and 2nd degree. Sina uhakika tukifanya hilo tutafikia conclusions hizi tulizonazo sasa hivi.
 
..Fancy Nkuhi ni nani?

..mwenye wasifu wake atuletee.

..je huyu ana uwezo na weledi wa kushiriki mjadala wa masuala ya Monetary Union ya EAC na kutetea maslahi ya Tanzania??
 
Babu M,

..najua kwamba South Bank ni chuo cha hovyo hovyo.

..lakini Shayo alisoma BA na MA UDSM na kufaulu vizuri tu.


Unajua ni kwanini wahitimu wa LSBU wanapata shida kupata kazi UK? Kwa sababu mbele ya employers wanaoneka si tu ni vilaza pia WADANGANYIFU. Shayo elimu yake ya nyuma kabla ya LSBU inawezekana ni nzuri lakini kusoma na kufundisha ikichuo inawezeka kimembadilisha jinsi ya kufanya mambo yake kama wasomi wengine.

Kwa mfano LSBU kinajulikana kwa udanganyifu

..pia anajulikana kwamba alikuwa mwanafunzi mzuri tangu O-levels na A-levels.

..tuweke hiyo PhD yake pembeni halafu tumpambanishe na wenzake tukiangalia rekodi zao kuanzia O-levels,A-levels,1st and 2nd degree. Sina uhakika tukifanya hilo tutafikia conclusions hizi tulizonazo sasa hivi.
LSBU kinajulikana kwa udanganyifu ndio maana hata wahitimu wake wengi hawapati kazi.Hatuwezi kuignore Shayo kusoma pale na kufanya kazi kwa muda mrefu inawezekana anafanya mambo yake kidanganyifu. Mfano ni kweli amesoma LSE kama anavyodai?
 
Wanabodi bora huyo Fancy Nkuhi kuliko Angela Kizigha ambaye ndiyo ameongoza kwa kura kwa upande wa wanawake ni kilaza balaa.
Tufwile mwana wa kiara............


Mimi hawa wabunge wa ccm walinichosha kabisa pale walipowapa kura zaidi Angela Kizigha na Shy-Rose Bhanji na kumyima mama mwenye weledi Janet Mbene; hopefully watakapokuwa wabunge wote pamoja na wa upinzani mambo yatabadilika.
 
LSBU kinajulikana kwa udanganyifu ndio maana hata wahitimu wake wengi hawapati kazi.Hatuwezi kuignore Shayo kusoma pale na kufanya kazi kwa muda mrefu inawezekana anafanya mambo yake kidanganyifu. Mfano ni kweli amesoma LSE kama anavyodai?

babu M,

..OK. tukubaliane kwamba Shayo ni mdanganyifu.

..now, r u comfortable sending Fancy Nkuhi and Shy-rose Banji, to represent our country in the negotiations for East Africa Monetary Union??
 
Tusimseme Shayo bila misingi kwani kasoma Mlimani kwenye degree za kwanza na pili. kama tunatofautiana sawa lakini huyu ni Mtanzania mwenzetu aliyejitahidi kielimu na anatakiwa kusifiwa badala ya kupewa madongo yasiyo na msingi. Ni lazima tuwe na utaratibu wa kusifiana badala ya kutafutiana sababu za kurudishana nyuma. Mtanzania akifanikiwa kielimu, kibiashara n.k ni faida kwetu wote. Vilevile kumekuwa na watu wengi kujaribu kuwa kashifu na kuwasema Watanzania wanaoishi nje bila kuwa ma misingi wakati ni Watanzania wanaotafuta masiha bora kwa familia na nchi yao.
 
Mimi hawa wabunge wa ccm walinichosha kabisa pale walipowapa kura zaidi Angela Kizigha na Shy-Rose Bhanji na kumyima mama mwenye weledi Janet Mbene; hopefully watakapokuwa wabunge wote pamoja na wa upinzani mambo yatabadilika.

Mkuu ni mambo ya mlungula hayo yaan ukistaajab ya mussa utaona ya firauni yaan hapo siyo uwezo ni pesa.kama mtu anakimbia media na ana uwezo wa kujenga hoja tunategemea nini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom