Nikirudi CCM nimlale mamangu - T.HIZA
we are manufacturing teachers - J the King
Nyingine ndogo....
kama unapenda watoto wa shule valisha mkeo yunifomu - Janjaweed
kama unapenda wake za wa watu mzengee mkeo - Janjaweed
Uendawazimu ni kufanya jambo lile lile kwa njia ile ile na kutegemea matokeo tofauti-mchungaji Peter Msigwa
fungeni milango tupigane -: godbless Lema
hii ni kweli mkubwa?????kama siamini ujue
unataka kuchukiwa na mjinga?mwambie anapokosea by fid qNikiweka itikadi za vyama pembeni na wala mimi si mkereketwa kiivyo wa mambo ya siasa lakini kwakweli mimi kati ya misemo iliyowahi kunigusa na ambao mpaka leo huwa naukubali katika maisha yangu ni huu Akili za kuambiwa Changanya na za kwako-( J. M Kitwete). Kwani kuna mengi ambayo nimekuwa nikisikia au kushauriwa lakini at the end of the day huwa nakaa chini na kujiuliza mwenyewe hivi mimi kama mimi ni nini msimamo wangu wa mwisho na kufanya maamuzi.
anaitwa mh rose mwalusamba from a CUF mbeya. Ana company known as young women enterprises ltd