Negatives: Selfish,Uncompromising, Impatient , semi- feminist**.
[TD="class: word"]No way,Jose! [/TD]
[TD="class: tools"][/TD]
[TD="class: text, colspan: 2"] Old timer's vernacular, used to express disbelief or disagreement. You can also use it to say "no" to someone named Jose.
Nancy: Fred, I'm pregnant.
Fred: No way, Jose!
Jose: Dude, can I borrow ten bucks?
Mike: No way, Jose.
[/TD]
Source
NB: Hiyo Jose inatamkwa Hozee
Sasa Zayon Dota nakudai lunch - City Garden (Yummy Yummy?) au Southern Sun
KirangaGangamala kwa kutumia hizo ulizoziita negatives zako kueleza msimamo wako wazi.
Ila ujue biological clock ina tick.
Usijali sana Nemo na pia tuelewe, .....wenzio bado tunaishi kwenye dunia ya 1947....
Kama mnafikiria kupata mtoto bila attachment, kwa nini msiongelee kujivua gamba au kujilipua kabisa ili mkabiriane na uncertainities pamoja?
Hata hivyo, wenzio tunazidi kujifunza jinsi dunia ilivyobadilika hadi ikawa kichwa chini miguu juu...!!!
Babu DC!!
you wanna volunteer sperms? lol
Wanalokushauri/kukuambia ndugu zako ni zuri na jema.Nahisi unamatatizo ya kisaikolojia..Tafuta ushauri dada.Unafurahia sasa kwa kuwa unamarafiki wengi na unajirusha..Umri ukienda na nguvu kukuishia na marafiki watakimbia..Utahitaji watu wa karibu sana watakaokufariji na kukusaidia..Kumbuka pesa sio kila kitu unapokuwa mpweke na kuhitaji msaada..Hata ndugu zako hutawaona kwa kuwa nao watakuwa na familia zao..
Nakushauri tafuta mwezi wa kukupa kampani na utafute anayeenda na wewe..
Kiranga
Nigangamaneje jamani? If I could change I would. Do you not agree that a kid in some way is the next best thing, kama mtu usipokuwa na familia
Nemo i like it binti akijisimamia anachoamini kiasi hiki!Babu Dark City ndoa is more than just reproducing au siyo? Kuna love, respect, beliefs, goals and so on. While me na jamaa we share an amazing bond, unfortunately siyo ya mume na mke otherwise we wouldnt have had this thread.
Babu Dark City ndoa is more than just reproducing au siyo? Kuna love, respect, beliefs, goals and so on. While me na jamaa we share an amazing bond, unfortunately siyo ya mume na mke otherwise we wouldnt have had this thread.
Habari zenu wanajamii?
Mimi kwa wasifu ni: ke, mid thirties,no kids, never been married
Positives: Easy going, friendly, "Ok" looking, very independent**
Negatives: Selfish,Uncompromising, Impatient , semi- feminist**.
Lately my family, especially my sister has been on my case re: my "unmarried" status. Ohh umri
umekwenda, ohh utajuta, ona watoto wa family friends na familia zao, ohh una muhuzunisha mama, and blah blah blah. Personally I could careless about mawazo ya wanandugu hawa except for my mother. I love her to pieces and would not want to be a source of disappointment in her life. Nilivyo ongea naye, yeye alichosema ni kuwa kama sitaki kuolewa at least nizae. She thinks huko baadae nitajutia haya maisha ya kipekee, especially ikiwa bila ya mtoto hata mmoja.
So far my biggest worry is mtoto is for life. Sasa wajameni, nemo mimi nisiyeweza haya maisha ya kuhudumia mtu mzima na ndevu zake aka ndoa nitawezaje kuwa responsible for mtoto who is a total dependant? Je wenzangu mna deal je na hizi pressure za familia kung'ang'ana na ndoa or meddling in your life? Na wale wazazi both single and married maisha na gharama za kulea ni aje?
PS: Sorry in advance kwa wale wanaokerwa na language mix
Nemo....
The choice is yours... angalia usifanye kitu chochote kwa shinilizo la mtu hususan ndoa sababu inahitaji commitments, wanaokwambia utasikitika ukubwani na kukosa raha (wakumbuke kwamba familia au watoto sio antidote ya kukosa raha) unaweza kuwa na furaha au huzuni either way..
Cha maana follow your feelings wala usikimbizane na miaka you might end up making wrong choices na kama hutaki partner ila unataka mtoto you can always adapt na kama hutaki vyote nobody can tell you otherwise follow your heart
kama hutaki kuolewa zaa........
Kiafrica watoto ni asset.....
Unadhani nani atakutunza baadae? Au unataka kusumbua watoto wa ndugu zako kukuanika juani???????? Bongo hakuna makazi ya wazee....
Zaa usije kusumbua watu baadae
BAKPole sana kwa hizi pressure za kimaisha kutoka kwa wanandugu. Bahati nzuri unajifahamu msimamo wako katika maswala ya ndoa na pia kuwa na mtoto/watoto. Kwa maoni yangu katika dunia ya leo usifanye chochote kile ili kuwafurahisha wazazi/wana ndugu. Fanya kile kitu ambacho roho yako inapenda hata ukiona umekosea huna wa kumlaumu ila wewe mwenyewe. Mtoto/watoto ni vizuri wapate mapenzi ya wazazi wote wawili.
Kama sikosei umebahatika kupata mapenzi toka kwa baba na mama. Je, kama ungeambiwa katika malezi yako ya utotoni ungelelewa bila ya mapenzi ya mmoja wa wazazi wako ungejisikiaje? Kwa umri wako pia ile biological clock is ticking hivyo inabidi ufanye maamuzi haraka ili kama utaamua kupata japo mtoto mmoja basi umtafute mtu ambaye kwanza utaridhika naye akupe uja uzito na pili naye ataridhika na msimamo wako kwamba pamoja na kuwa mtazaa naye kama mkijaaliwa lakini hakutakuwa na maswala ya ndoa siku usoni. Na uja uzito nao kwa wenye bahati zao wakigusa tu basi mambo yanajipa lakini wengine huchukua muda mrefu mpaka wafanikiwe. Kila la heri katika kufanya maamuzi yako.
BAK
Muchly appreciated for this very solid advice. Ila naomba ni fanunue kuhusu swala la ndoa. I have nothing against it na pia hata mimi ningependa kupata chereko chereko na mwenza wa maisha. That said Ndoa to me is
I cant stress how many close people (women I used to respect), I have seen being treated like ,,,,,,,,,,,,,,,,,,losing their dignity and respect in the name of the so called ndoa. I know watu watanirukia or sio ndoa zote, or blah blah but show me 1 on solid man and I'll show you 10 that are,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,. Hizi habari za "oohhh ataenda atarudi mie ndio mke halali", "hata mfanyaje sijui nikonae ndani, and blah blah is just not my cup of tea
- Not accepting my a man's infidelity in the name of uvumilivu- Id rather be uncompromising
- Not a** kissing wakwe, and a bunch of people in the name of adabu na heshima- Id rather selfishly be myself
- Not cooking, house cleaning and labouring for a grown man - Id rather be called a feminist
PS: Pole if I seem to rant but duh! Some marriages are a JOKE![/QUOTE]