Kama umeweza kuto olewa kwa matakwa yako, usizae kwa matakwa yako pia. Mtoto sio accessory ni mwanadamu anaehitaji ukaribu wa mzazi ambae anampenda kwa dhati na sio kwa magumashi.
Babu I beg to differ hapo unasema kama hayupo tayari aendelee hivo..Ajitahidi kutafuta suluhu asibweteke na hali hiyo..Pole sana Nemo kwa yote yanayokusibu....
Ila jambo zuri sana kwamba unajitambua na weakness zako...mfano, ni hilo la kwamba uko selfish....Halafu uko impatient and uncompromizing!!
Je uko tayari kujaribu kubadilika kwa ajili ya mtu au watu unaowapenda...mfano mpenzi wako na watoto??
Kama hauko tayari basi uendelee na maisha yako hayo hayo....kwa sababu family life ni pamoja na kujitoa kwa ajili ya furaha ya watu wengine, kuwa patient hata kwa vitu ambayo watu wengine wasingekuelewa na ku-compromise baadhi ya mambo yako ili wale unaowapenda wapate furaha na amani...
Naamini umenielewa...
Babu DC!!
Habari zenu wanajamii?
Mimi kwa wasifu ni: ke, mid thirties,no kids, never been married
Positives: Easy going, friendly, "Ok" looking, very independent**
Negatives: Selfish,Uncompromising, Impatient , semi- feminist**.
Lately my family, especially my sister has been on my case re: my "unmarried" status. Ohh umri
umekwenda, ohh utajuta, ona watoto wa family friends na familia zao, ohh una muhuzunisha mama, and blah blah blah. Personally I could careless about mawazo ya wanandugu hawa except for my mother. I love her to pieces and would not want to be a source of disappointment in her life. Nilivyo ongea naye, yeye alichosema ni kuwa kama sitaki kuolewa at least nizae. She thinks huko baadae nitajutia haya maisha ya kipekee, especially ikiwa bila ya mtoto hata mmoja.
So far my biggest worry is mtoto is for life. Sasa wajameni, nemo mimi nisiyeweza haya maisha ya kuhudumia mtu mzima na ndevu zake aka ndoa nitawezaje kuwa responsible for mtoto who is a total dependant? Je wenzangu mna deal je na hizi pressure za familia kung'ang'ana na ndoa or meddling in your life? Na wale wazazi both single and married maisha na gharama za kulea ni aje?
PS: Sorry in advance kwa wale wanaokerwa na language mix
Hayatuhusu. This is your private business. We dont want gossip in this forum.
Kama umeweza kuto olewa kwa matakwa yako, usizae kwa matakwa yako pia. Mtoto sio accessory ni mwanadamu anaehitaji ukaribu wa mzazi ambae anampenda kwa dhati na sio kwa magumashi.
Berrita nashukuru for your input ila tatizo ni hapo nilipo bold. It's not as easy as you think. Kwa mfano Right now if you ask me unataka mtoto at this moment or next year the answer is a definate NO! However I can't say that for sure down the road, eg in 5 years.
Pole sana Nemo kwa yote yanayokusibu....
Ila jambo zuri sana kwamba unajitambua na weakness zako...mfano, ni hilo la kwamba uko selfish....Halafu uko impatient and uncompromizing!!
Je uko tayari kujaribu kubadilika kwa ajili ya mtu au watu unaowapenda...mfano mpenzi wako na watoto??
Kama hauko tayari basi uendelee na maisha yako hayo hayo....kwa sababu family life ni pamoja na kujitoa kwa ajili ya furaha ya watu wengine, kuwa patient hata kwa vitu ambayo watu wengine wasingekuelewa na ku-compromise baadhi ya mambo yako ili wale unaowapenda wapate furaha na amani...
Naamini umenielewa...
Babu DC!!
Babu I beg to differ hapo unasema kama hayupo tayari aendelee hivo..Ajitahidi kutafuta suluhu asibweteke na hali hiyo..
Kuna washauri wa kiroho na wasaikolojia..Nina imani atapona tu..
However selfish and uncompromising you are
ukizaa utabadilika...
Wanalokushauri/kukuambia ndugu zako ni zuri na jema.Nahisi unamatatizo ya kisaikolojia..Tafuta ushauri dada.Unafurahia sasa kwa kuwa unamarafiki wengi na unajirusha..Umri ukienda na nguvu kukuishia na marafiki watakimbia..Utahitaji watu wa karibu sana watakaokufariji na kukusaidia..Kumbuka pesa sio kila kitu unapokuwa mpweke na kuhitaji msaada..Hata ndugu zako hutawaona kwa kuwa nao watakuwa na familia zao..
Nakushauri tafuta mwezi wa kukupa kampani na utafute anayeenda na wewe..