umeniweka position ya huko juu kbs !!!Nimekutishaje
Loolh! hakuna safety net?!!Ukijigeuza tu unasababisha majanga.
Ukijigeuza tu unasababisha majanga.
Ha ha ha ha...wewe bhana!!sijui wajuu akibanwa na kojoo itakuaje..mbona atawafurahisha wa chinii bwahahahah
hahahaha its impossible..... aisee usinidanganyeHa ha ha ha...wewe bhana!!
Mmh !! wenzetu wanatumia pempazi za disposable !!
mmmh nikudanganye?!! bado hujui wala hujasikia hii mpya !! FYI, kuna vigogo na Viongozi wa juu huvaaga pempazi ktk vikaao vyao, ktk maonesho ya kitaifa/gwaride au ktk safari ndefu, safari za angani !!hahahaha its impossible..... aisee usinidanganye