JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,751
- 2,749
Hodi humu ndani,
Kwa muda sasa nimekuwa nikihangaika na changamoto mbalimbali za kimaisha na kutokana na kuwa mbali na familia kikazi, mengi hutokea nyumbani ktk familia yangu, ndugu na jamaa. Baadhi ya mambo ambayo hutokea, mengine huwa yanahitaji msaada wa kisheria katika nyanja mbalimbali kama biashara, migogoro, ushauri, kesi na legal issues nyingine. Nimeona utaratibu wa familia ktk nchi zilizoendelea na baadhi ya familia hata Tanzania ambazo huwa na family lawyer. Nimedhamiria nami ku introduce hilo jambo ktk familia yangu hivyo nimekuja hapa kupata mawili matatu juu ya hii kitu katika haya:
1.Malipo huwa kwa mtindo gani? (Ni kwa kila issue anayo handle au muda wote unamlipa?)
2.Anatakiwa awe mwanasheria wa aina gani? Au yeyote tuu aliyesomea sheria?
3. Aina ya mkataba wa kuingia nae
4. Anapatikanaje?
5. n.k
Naombeni kwa ambao mna family lawyer au mna uelewa juu ya hili mnijuze tafadhali. Pia wanasheria mfunguke ktk uzi huu nijue inakuwaje.
Ahsanteni.