Family foto before Eid

Family foto before Eid

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,091
1436967679869.jpg1436967679869.jpg
 
Mshana jr miss u sana hatucheki siku hizi umepigwa ban au unatangaza nia ya ubunge?
 



We mshana jr ni mtu mbaya sana....yaani wewe nilidhani ni mwana JF mwenzetu kumbe holaaaa. Hawa si wale mbuzi wa Kinondoni makaburini walioachwa na viongozi wa CCM kwa ajili ya makafara yao ya usiku? Wewe unajuwa kabisa mtu akila hawa mbuzi anapata laana na majanga kibao huku hao viongozi wakineemeka. Tafadhali itoe hii picha, unatuvunja moyo kwa kutupa wasiwasi na uanachama wako humu JF.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom