Hujambo weye? Nadhani ni reality show kwa maana ya kwamba si lazima kila kesi ya kindugu iende kwenye mahakama rasmi. Inawezekana ni wasiwasi wangu tu lakini nimeona katika vipindi vitano ninavyoangalia, kesi tatu hadi nne zitakuwa zinahusu Blacks na moja tu ndio wazungu. Kuna ujumbe fulani hapo?