Family court

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,740
Hiki kipindi kinachorushwa ITV ni kizuri na kinafundisha ila sijaelewa kama ni maigizo au ni reality show?
 
Mziwanda ni kile cha Judge Penny sijui? sijawahi kukifuatilia mimi ila huwa nakiona, ngoja nianze kukilia mingo!
 
Hujambo weye? Nadhani ni reality show kwa maana ya kwamba si lazima kila kesi ya kindugu iende kwenye mahakama rasmi. Inawezekana ni wasiwasi wangu tu lakini nimeona katika vipindi vitano ninavyoangalia, kesi tatu hadi nne zitakuwa zinahusu Blacks na moja tu ndio wazungu. Kuna ujumbe fulani hapo?
 
Nami sijajua kama kuna race ndani yake. Ila naona haijalishi kama ni blak or white. Naona jaji anawachana live tu. M/jamii, ni bonge ya kipindi kifuatilie
 
Nami sijajua kama kuna race ndani yake. Ila naona haijalishi kama ni blak or white. Naona jaji anawachana live tu. M/jamii, ni bonge ya kipindi kifuatilie

Embu tuambieni kinakuwa saa ngapi, ili time hizo na sisi tuwashe jenereta zetu na kugeuzia antenna mjini! tehe h heee!
 
Embu tuambieni kinakuwa saa ngapi, ili time hizo na sisi tuwashe jenereta zetu na kugeuzia antenna mjini! tehe h heee!

sijamaki muda ila marudio yake yalikuwa leo mchana wa saa saba. labda kama kuna wadau wanaojua ratiba ya ITV inaendaje watusaidie
 
Back
Top Bottom