Bora umeuliza na utoe na majibu,dini ziko Africa tu???.. Ama hata wazungu wana dini na wanasali,Yan kuanzia hivyo vitabu vinavyoandika juu ya dini wanavicontrol wenyewe sasa huoni hapo bado wana kucontrol..magonjwa wameyatengeneza ili kufanya biashara ya dawa. Sasa usiniulize kwamba mbona na wenyewe yanawapata utajijibu kwa sababu hata silaha hutengenezwa lakini huuwa pia watengenezaji.
mdau usiwe mbishi.....maarifa mengine kuhusu utendaji kazi wa mifumo ya dunia hii iliyowekwa na kikundi fulani cha binadamu wachache,ili kuelewa, inabidi tu wewe mwenyewe ujiongezee maana huwezi fundishwa na shule au chuo chochote duniani.Ishu ni kugraduate kwani wangapi wana degree zao na wana kampuni zao na mapato yao,acheni ufamba wa kutegemea conspiracy theories wakati u have the freedom to live the life u want
Starehe nani anakukontroo kustarehe unavyotaka??
Mkopo unataka uchukueje bila utaratibu ama,bima ya afya inamsaidia nani kama sio wewe?ukipata superior medical care ni mtu anakukontrooo hapo??
Elimu si nimesoma afu naitumia mwenyewe, unataka usome syllabus yako alafu Acha shule sasa ndo uone watu watakavokukontroo vzuri
Em give me something practical mfano tangu nilivoamka leo asubuhi hadi saivi nani kanikontroo ama familia gani tajiri imenikontrooo,najikontrooo wmnyw na Mungu
Family iko US sijui UK mi inanikontroo vipi mjipange mda mwingine mnavyofikiria mambo yenu
Sometimes mnachanganya normal progress ya human civilization na familia hizi...na kuna baadhi ya vitu ni very petty wewe kuwa controlled na mtu...mdau usiwe mbishi.....maarifa mengine kuhusu utendaji kazi wa mifumo ya dunia hii iliyowekwa na kikundi fulani cha binadamu wachache,ili kuelewa, inabidi tu wewe mwenyewe ujiongezee maana huwezi fundishwa na shule au chuo chochote duniani.
ulishawahi jiuliza ni nani mmiliki wa"www" (world wide web)?.
tumia tu lugha moja ya kiswahili,kuchanganya na kingereza,ni dalili kuwa saikolojia yako ipo chini ya udhibiti wa watu weupe.au hilo nalo hulioni?.[emoji23] [emoji23]Sometimes mnachanganya normal progress ya human civilization na familia hizi...na kuna baadhi ya vitu ni very petty wewe kuwa controlled na mtu...
Umiliki wa www obviously someone has to own it...does it control you??.mbona na me namiliki kampuni, na kuna watu wanamiliki kampuni zao nyingi tuu duniani,kubwa kwa ndogo,is that a problem ama who was supposed to own it afu on the contrary tunaona owner mwingine??
If issue ni 'content' ya information mbona people have the freedom to post whatever wherever and whenever they want n like,element ya control inakujaje hapo,kwenye content ama akili zao nani kawashikilia wkt they have free will?.contents nyingi rather zote ni user generated
Tena bora ht zamani saivi people air any content they want except tu hapa bongo kuna mtu katuambia 'watch it,not to that extent ' na ye ni familia inakontroo???
Tatizo unaaacha mada at hand unaanza kudiscuss lugha nnayotumia...tumia tu lugha moja ya kiswahili,kuchanganya na kingereza,ni dalili kuwa saikolojia yako ipo chini ya udhibiti wa watu weupe.au hilo nalo hulioni?.[emoji23] [emoji23]
Tatizo unaaacha mada at hand unaanza kudiscuss lugha nnayotumia...
Mi nmekuuliza maswali ya msingi, I can use either language fluently ishu ni kucomment sasa
Kikiwa kiingereza tupu thread watu hawaielewi,ikiwa kiswahili tu kinakosa misamiati ya kutosha, waweza nipa kiswahili cha 'conspiracy theories ' kwa kuanzia tu
Ndo mana tunatumia swanglish to get the benefit of both languages at once
Naona unarukaruka tu mana majibu hunaLadyRed tayari nilishabaini kuwa umejipanga kubisha kwa nguvu zote kuhusu baadhi ya mifumo hapa duniani ambayo ipo chini ya udhibiti wa familia chache sana.
ndio maana nikaona bora nichomekee vitu vingine.niwie radhi kwa kukupuuza.halikuwa kusudi langu.
Cc kadoda11, una majibu ya hapo juu kwa mfano,ama ndo utaendelea kuruka km bisi ktk kikaango hehehheBora umeuliza na utoe na majibu,dini ziko Africa tu???.. Ama hata wazungu wana dini na wanasali,
Haya magonjwa na wao si wanaugua
What kind of kontroo iko hapo..kama na ye anakufa kama sisi anaugua kama sisi...nk..huoni unajitengenezea mauongo flani kichwani??
Trust me I tell you I am highly informed abt hizi familia mana been quite a reader tangu mtoto
Mi at around 18 haya makorokoro ya Illuminati and shit were on my finger tips..ss kuna at some point as an individual naona mnadhani mnakua controlled kumbe walaaa hamna anaekukontrooo
Eti kuna mtu akasema oh kina bill Gates cjui Zuckerberg hawana hata digrii walitaka kutoka kwny system, mehhhn B.S...kwani nani kakuzuia wewe leo kuwa college dropout uanzishe kampuni yako na ukimaliza digrii nani kakushika usifungue kampuni, nani anakukontroo hapo???.
These families don't control everything at all..Kuna mifano mnasight haina mantiki wala relationship ktk hizi familia
Kuna vitu na vitu mfano ishu ya Global population at a large scale I agree,ishu ya Roman Catholic Church, US financial systems,music and movies industry, lakini eti college drop out, mara sijui insurance, sijui syllabus na kitu gani plssss,go read ur books this things ziko ktk level kubwa sio ya kitoto toto hata u can't live ur life the way u want...nani anakukontroo to choose the job u want,the wife u want,the children u wanna have where u want to live and go,fields of interest to work on,nk si unachagua mwenyewe???
Rockefeller akikontoroo money supply Federal Bank we unakua affected vipi kwa mfano mambo mengine hatujafika huko..ur free to live ur life,kulitokea depression in the US hata wabongo sijui kama walifeel anything....
let's agree to disagree,there is no need of continuing to debate over an issue which no side is going accept the truth.Naona unarukaruka tu mana majibu huna
Toa clarification kwa mfano kwny hio ishu ya worldwide Web(www)... Ama kuna vitu mmekaririshwa kiasi mtu akikutwist kidogo tu huna majibu?.,
Bora umeuliza na utoe na majibu,dini ziko Africa tu???.. Ama hata wazungu wana dini na wanasali,
Haya magonjwa na wao si wanaugua
What kind of kontroo iko hapo..kama na ye anakufa kama sisi anaugua kama sisi...nk..huoni unajitengenezea mauongo flani kichwani??
Trust me I tell you I am highly informed abt hizi familia mana been quite a reader tangu mtoto
Mi at around 18 haya makorokoro ya Illuminati and shit were on my finger tips..ss kuna at some point as an individual naona mnadhani mnakua controlled kumbe walaaa hamna anaekukontrooo
Eti kuna mtu akasema oh kina bill Gates cjui Zuckerberg hawana hata digrii walitaka kutoka kwny system, mehhhn B.S...kwani nani kakuzuia wewe leo kuwa college dropout uanzishe kampuni yako na ukimaliza digrii nani kakushika usifungue kampuni, nani anakukontroo hapo???.
These families don't control everything at all..Kuna mifano mnasight haina mantiki wala relationship ktk hizi familia
Kuna vitu na vitu mfano ishu ya Global population at a large scale I agree,ishu ya Roman Catholic Church, US financial systems,music and movies industry, lakini eti college drop out, mara sijui insurance, sijui syllabus na kitu gani plssss,go read ur books this things ziko ktk level kubwa sio ya kitoto toto hata u can't live ur life the way u want...nani anakukontroo to choose the job u want,the wife u want,the children u wanna have where u want to live and go,fields of interest to work on,nk si unachagua mwenyewe???
Rockefeller akikontoroo money supply Federal Bank we unakua affected vipi kwa mfano mambo mengine hatujafika huko..ur free to live ur life,kulitokea depression in the US hata wabongo sijui kama walifeel anything....
Eti serikali inakupangia ulale sa ngapi,asee hiki ni nini unajaribu kutuambia hapa,mi nikikesha leo usiku serikali ama powerful person yupi amenipangia kitu ama mda wa kulala??..haya mambo
Haya mambo hayahitaji sana kusoma wala kufundishwa bali logic tu.. free human being amezaliwa akiwa na akili ubongo haukuwa empty unatakiwa ujitawale kwa kila kitu. Sasa leo hii serikali inakupangia ulale saa ngap yan kwa ujumla scope ya kuishi .. who created the government na piasoma juu ya origin of state!! hizi ni notion za watu tu wamekaa wakaona ni namna gani ya kumtawala binadamu.. driving forces za hii nchi duniani zinatoka kwa baadhi ya powerful persons.
Eti serikali inakupangia ulale sa ngapi,asee hiki ni nini unajaribu kutuambia hapa,mi nikikesha leo usiku serikali ama powerful person yupi amenipangia kitu ama mda wa kulala??..
Scope ya kuishiii?dude plssss...death is a natural process ama hilo hulijui
Hahaha Haya mambo sio logic tu haitoshii...u need to read and read,history present and future prospects.... Driving forces zipi mbona kama unafunika funika vitu hueleweki...
Ishu ya origin of states haijaanzia leo eti,tangu zama za Yesu kuna Roman empire,Egyptian Pharaohs et al utawala kwa binadamu haujaanza leo wala kwa familia hizi za juzi tu 18th Century
Mana kama mnaona mtu akiwa wealthy anakontroo watu basi Tanzania Bakhresa na Mengi wanatukontroo sioo...hehehheh
Km vitu hamvielewi msipotoshe tu umma jmn
Ishu ni kugraduate kwani wangapi wana degree zao na wana kampuni zao na mapato yao,acheni ufamba wa kutegemea conspiracy theories wakati u have the freedom to live the life u want
Starehe nani anakukontroo kustarehe unavyotaka??
Mkopo unataka uchukueje bila utaratibu ama,bima ya afya inamsaidia nani kama sio wewe?ukipata superior medical care ni mtu anakukontrooo hapo??
Elimu si nimesoma afu naitumia mwenyewe, unataka usome syllabus yako alafu Acha shule sasa ndo uone watu watakavokukontroo vzuri
Em give me something practical mfano tangu nilivoamka leo asubuhi hadi saivi nani kanikontroo ama familia gani tajiri imenikontrooo,najikontrooo wmnyw na Mungu
Family iko US sijui UK mi inanikontroo vipi mjipange mda mwingine mnavyofikiria mambo yenu
mimi nafikiri kuna mtu hajaelewa wana control vipi;
ni sawa na kuwa kisiwani hakukuzuii kutembea,kuendesha gari ,kutokuona misitu ,kustarehe ,kuoa nk
lakini utazunguka mule mwisho utakuta maji,Utaendesha Gari mwisho utakuta maji...
yani popote utakapofurukuta mwisho wa siku utakuta maji.
ndio sawa sawa na hizo Family za hao watu, wewe utaishi utakavyo ,utafanya ufanyavyo ila mwisho wa siku utawakuta pale nnchani.
(kwauelewa wangu binafsi)
Do you know the secrets of the world?Unaweza kunieleza kwanini kuna baadhi ya teknolojia wanazizuia?Bora umeuliza na utoe na majibu,dini ziko Africa tu???.. Ama hata wazungu wana dini na wanasali,