balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,836
- 15,668
Ndo kina nani huko Dar es Salaam mkuu?Ni familia ya Mr. Kaggi ya Masaki Dsm walienda kwenye mazishi ya mama mzazi wa mr. Kaggi huko Raskazone Tanga.Wakati wanarudi walipata ajali .Alipona mke wa mr.Kaggi na msichana wa kazi.RIp
Zenu zikifika na ikiwa imepangwa muondoke pamoja mnaweza kufa hata mkiwa nyumbani mmelala.Baba etu ilipokua na ulazima wa kusafiri kwa pamoja kama familia.
Ilikua tunapanda magari TOFAUTI kabisaa unajua wazee wa zamani walionaga mbali..
Ni kama ile theory ya kuto weka mayai yoteee kwenye kapu MOJA.
Acha ujinga kakaNdo kina nani huko Dar es Salaam mkuu?
Anyways poleni kwa msiba
Sasa aache ujinga gani?Acha ujinga kaka
Wameletwa humu ili uwahafamu au imekuja kama taarifa?Sasa aache ujinga gani?
We unadhani kila mtu anawafahamu hao watu humu jf?
Taarifa mngewapelekea wanaowafahamu huko makwao basi,sio mtuletee huku public tukiwahoji mnalia.Wam
Wameletwa humu ili uwahafamu au imekuja kama taarifa?
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema neema tupe mwisho mzurii (mwema)Zenu zikifika na ikiwa imepangwa muondoke pamoja mnaweza kufa hata mkiwa nyumbani mmelala.
ww ni mpumbavu aisee kwaiyo karma ije kwa watoto na mume ..............Huyo mama ni Tcha sisemi kwa ubaya ila maticha wengi wana roho za mkasi....huyo mama aangalie miaka ya nyuma kama kuna mwanafunzi alimwonea itakuwa ni karma.