TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,047
Na wewe style yako ya kufunga mwaka ni kuwaponda wenzio!ayaaa!, asante ff kumbe jamaa alikuwa anatupiga maboya.napata shaka hata zile picha za money stunna zilikuwa za kichina pia.duu watu wameamua kufunga mwaka kwa style.