Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,039
- 8,242
🤣🤣WakwanguWanao au wanenu?
Hiyo kukutolea Mahari kisheria ni kuwahalalisha ( Legitimize) hao watoto watambulike katika familia yao.Habari za eid pili waungwana.
Iko hivi,nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja.Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya
Lol kwahiyo nikaanze moja?kama wanaishi vizuri na unaaccess nao muda wowote nenda kaishi na mtu wako mpya tu
Ili watambulike kwao na hata sasa wanaishi kwao bwana yule🙏Hiyo kukutolea Mahari kisheria ni kuwahalalisha ( Legitimize) hao watoto watambulike katika familia yao.
Kama hao wazazi wana mtazamo kama wangu, ikiwa wanataka kutoa mahari ili uolewe na jamaa hiyo ni issue nyingine.
So rudi waulize wanakutolea mahari kwa minajili gani?
Kwann hanifai?kanikuta nishawazaa tayari na wala sikumfichaUnaweza chukua watoto ila kama ulivyosema ina Bwana mpya 🙃 kama huyu bwana mpya atakubali kuishi na wewe ukiwa na watoto wawili kama kiongozi wa wanaume JF nakushauri huyo jamaa hakufai hata kidogo kimbia...
Hapo kubali ili waje kupata stahiki zote upande wa Baba yao.Ili watambulike kwao na hata sasa wanaishi kwao bwana yule🙏
Kwa upande wangu itaniharibia,we mtu wangu akijua nimetolewa mahari na baby dady atajisikiaje?Hapo kubali ili waje kupata stahiki zote upande wa Baba yao.
Hivyo ni kisheria...
ukitaka amaniLol kwahiyo nikaanze moja?
Hakuna mwanaume akiyekamilika akataka kulea watoto w mwanaume mwingineKwann hanifai?kanikuta nishawazaa tayari na wala sikumficha
Yeye pia anaye mtoto mmoja alomzaa na mwanamke mwingine,na huyo mwanamke alishaolewa🙏Hakuna mwanaume akiyekamilika akataka kulea watoto w mwanaume mwingine
Pili kwa sisi waafrica mtoto anachukua ubini wa baba. Kuchanganya family mbili zenye damu na koo tofauti huwa zinaleta shida sana. I have experienced this. .
Hapa tu siishi nao nakosa amani, ndomana nataka kuwachukuaukitaka amani
Ndio mwanamke anaweza leo mtoto wa Bwana ila mwanaume hawezi leo mtoto w Bwana mwingine. Mwanae bado atabaki na ubini wake.Yeye pia anaye mtoto mmoja alomzaa na mwanamke mwingine,na huyo mwanamke alishaolewa🙏
Issue ni hivi umetolewa mahari ili kuhalalisha watoto uliozaa na huyo wa kwanza watambulike kwenye familia (ukoo) wake, ili kesho akifa watoto wawe na haki.Kwa upande wangu itaniharibia,we mtu wangu akijua nimetolewa mahari na baby dady atajisikiaje?
Lol mila gani hizo,na wahaya nao wana hizo mila eeh,manake bwana yule ni mhaya 🤔Ndio mwanamke anaweza leo mtoto wa Bwana ila mwanaume hawezi leo mtoto w Bwana mwingine. Mwanae bado atabaki na ubini wake.
Kwanza unawanyima haki watoto kukua kwao Haimanishi kuwa hawakutambui kama mama yao
Uchagan hata ukienda ukaolew mara kumi kama umelipiw mahari unarudi nyumbani. Ukipokea mahari maana yake watoto watatambulika rasmi kwa baba. .
Upo sahihiWaambie sio mahari watoe waambie mi fidia ya wewe kuzalishwa bila kukuoa