PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Chadema walimpeleka Rose Mhando kuimba kwenye msiba wa Ally!
Chadema mmestukiwa,
mnaua halafu mnajipendekeza kusaidia shughuli za mazishi na kutupia
lawama serikalini. Ole wenu siku yaja nayo i-karibu, mtaulizwa habari ya
wangwe, rejia n.k. na mtakosa la kujibu.
Chadema mmestukiwa, mnaua halafu mnajipendekeza kusaidia shughuli za mazishi na kutupia lawama serikalini. Ole wenu siku yaja nayo i-karibu, mtaulizwa habari ya wangwe, rejia n.k. na mtakosa la kujibu.
Katika hali ya kushangaza familia ya ndugu ally imelalamika kuwa imetalekezewa msiba kwani haijapewa msaada wowote toka chama cha demokrasia na maendeleo.
KWAKO TUMAINI MAKENE CHAMA KINASEMAJE JUU YA HILI,LISIJE LIKACHAFUA SURA YA CHAMA CHETU.
CHANEL 10
Acha pumba ndugu, hivi unategemea CDM waue na serikali ikae kimya basi hatuna serikali kama ipo basi ndo iliyoua na ndo maana imekaa kimya.
dah! Huu ndio uwezo wako wa kufikiri? Pole sanandugu wa marehemu walikataa maiti ya ndugu yao ally kuwekwa hadharani, chadema walitaka kutumia msiba kufanya siasa, ndugu wakawaambia sheria ya dini yetu hairuhusu kuaga maiti kama hamtaki anza mbele. wakaondoka kuelekea iringa kufanya vurugu wapate maiti nyingine.
Policcm walipoua watu Arusha walijaribu kuwarubuni familia za marehemu bila mafanikio kutokana na msimamo wa familia za wafiwa.
Policcm walipoua watu nyamongo Tarime walijaribu kuwarubuni familia za wafiwa bila mafanikio hatimaye wakaamua kupora miili ya marehemu na kwenda kuitelekeza porini na barabarani.
Policcm wameua mtu morogoro kama kawaida yao wamejaribu kuirubuni familia ya marehemu na hatimaye wamefanikiwa na sasa tunashuhudia vibweka toka kwa ndugu wa marehemu!
Usanii upi Ritz? hakuna taarifa thabiti PM ilifanyika saa ngapi nani walikuwepo wakati inafanyika, pia hata maiti ya mpendwa wetu Ally imesafirishwa kinyemela kwa kuwarubuni ndugu wa marehemu hususani shemeji yake, na baada ya kuona lengo lao la kutorosha maiti na kuizika ndo wakaamua na kutoa majibu ya PM yaliyostaajabisha ambayo unayajua. Kilichofanyika hapo CCM na Polisi wamejifanya kupoteza ushahidi ambao hauwezi kupotea kirahisi hivyo.Nilimsikia Dr Slaa, kwenye taarifa ya habari akiongea na waandishi wa habari alisema anasubiri ripoti ya Daktari kuhusu mwanachama wao Ally...kumbe ulikuwa usanii mtupu siasa bana.
Kung'ang'ania madaraka kwa CCM kunaliangamiza Taifa na kupoteza raia wasio na makosaTamaa ya madaraka itakiua chadema
ndugu wa marehemu walikataa maiti ya ndugu yao ally kuwekwa hadharani, chadema walitaka kutumia msiba kufanya siasa, ndugu wakawaambia sheria ya dini yetu hairuhusu kuaga maiti kama hamtaki anza mbele. wakaondoka kuelekea iringa kufanya vurugu wapate maiti nyingine.