Ni vigumu kujitoa CCM kwa sababu bado mzee malecela anabembelezea serikali ihamie DodomaKutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?
ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.
je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
UchocheziKutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?
ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.
je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
Kwenye pesa CCM huwa wanatosana sana hata yule mkuu wa Fitna na Majungu wa CCM kwenye mitandao yaani Mr Lizaboni kuna kipindi Rajab Luhavi na Lukuvi walimnyima Pesa akawaandama sana kwenye mitandao kwa matusi na fitna za kila Aina.Jaribu Kukumbuka Suala La Lukuvi Mkewe Alipoanikwa Hadharani Kufanya Kazi ATCL Huku Shirika Likidorora
Mh Lukuvi Alimtosa Mkewe Akasema Kila Mtu Na Kazi Yake
Malecela Naye Hawezi Kuitosa Ccm Hata Iweye
Le mutuz yeye hajasajili hata mtandao mmoja yote anaifanyia biashara pasipo kulipa kodi hata JF Le mutuz kaitumia sana kuwasaidia kuwatetea CCM kwa kila aina ya utetezi lakini cha ajabu boss wa JF yupo jela Le mutuz hajaenda kumjulia hali kisa anaogopa na yy mtandao wake utafungiwa na kupelekwa jela.Malecela hawezi kuhama ccm, kwa hali iliyopo aendelee tu kuvumilia maana bado familia yake itaendelea kuonja maumivu, le mutuz nae soon atapanda koltini kwa kumiliki .com domain name
Utamaduni huo kwa ngozi nyeusi hakuna.Jaribu Kukumbuka Suala La Lukuvi Mkewe Alipoanikwa Hadharani Kufanya Kazi ATCL Huku Shirika Likidorora
Mh Lukuvi Alimtosa Mkewe Akasema Kila Mtu Na Kazi Yake
Malecela Naye Hawezi Kuitosa Ccm Hata Iweye