Familia ya Dr. Slaa wamlilia "Ndama Mtoto wa Ng'ombe"

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,181
Kufuatia lile sakata la nyumba ya Dr. Slaa limeibuka upya baada ya familia ya Dr Slaa kumlilia Ndama mtoto wa ng'ombe awape Hiyo nyumba kwa kumrudishia fedha zake alizonunua kutoka mnadani.

Ndama amegoma amesema Kama wanataka wammpe mil 440m ambayo ni mara nne ya bei aliyoinunulia kutoka kampuni ya madalali.
 
Tabibu alifanya KAZI kubwa kukijenga chama,sidhani kama chadema wameuza huo mjengo,wangemwachia tu,au chadema ipite nchi nzima kumchangia dr maana fisiem wamemtumia kama toilet paper chadema kwa kuthamin mmchango wake Kwa chama kabla hajaenda pale hotel in kumchafua rais Wa mioyo yetu pitishen bakul nchi nzima babu asihadhirike
 
Laana zingine bana wacha tu. Inafaa binadamu ajue kwamba maneno ya watu hasa laana inakuwaga kweli. Utashangaa viongozi wa leo wanawavunja maskini nyumba, watoto wanalia, wamama, wazee etc halafu ukadhani yatapita. Infact mateso wayapatayo yatamrudia yeye asababishae mara tatu. Hii ni sheria ya universe iitwayo karma.

Sasa mzee Muhogo alitegemewa na wengi kisiasa hata kama sio uraisi lakini alikuwa na mchango wake. Ubinafsi, ukasababisha mwanamke akamdanganya akaingia kingi ile ya CCM aliyoikataa miaka yoye. Akapokea vipande vya fedha akasaliti wafuasi wake. Wafuasi wamelia na sasa Mzee anaanza kupata adhabu kutoka kwake mwenyewe.
 
Mwenye picha ya hiyo nyumba tafadhali! Ticket ya watu wawili first class kutoka Tanzania hadi Marekani ni doller ngapi kwenda na kurudi na kwenda tena ni doller ngapi?? Na ticket ya kutoka Marekani hadi Canada watu wawili ni Doller ngapi?? Hela zote sizingeweza kukomboa nyumba kweli?? Alifanya hivyo ili kuwakomoa UKAWA??? Mwacheni aisome number
 
Malipo hapa hapi duniani alikuwa anaropoka sana kipindi cha kampeni huyu! Ndama mwambie akupe mil. 800 kabisa!
 
ndama komesha hiyo nafki , hata itoe ti** usikubali , nililia sana alipokuwa anatuchamba na lowasa wetu
 
Mbona alisema hajakopa?

Nikikumbuka kipindi kile alivyojifanya kimbele mbele sakata la Zitto, acha yamkute.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom