Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

Asante kwa majibu mazuri.
Maswali mengine ninayo yanaendelea kwenye ubongo ingawa yanaeza yasipate majibu.
Swali kama hao mageneral mtazamo wao juu ya demokrasia na uchaguzi huru ukoje?
Wanasimamia wapi? Na how strong are they?
Je mkuu muadilifu kutumwa nje haihusiani na kuwa hawa wanaweza kuruhusu au kuchangia bao la kiganja? Just asking

Pathetic! Yaani kwenye 'equations' zako za kuingia ikulu na kuasi kwa jeshi kumo? Yaani mkuu wa majeshi muaminifu ni yule ambaye ukilalamikia bao la mkono, hata kiulongoulongo, AVIAMURU VIKOSI VYA JESHI VIASI? VITAMTII VYOTE? WEWE NA WENZIO MLIOKAZANIA HUU UPUUZI MNATAKIWA MUENDE KIZUIZINI, KWA UHAINI, HADI BAABA YA UCHAGUZI!

NB: WAKATI MWINGINE MPANGILIO WA MAWAZO YA MTU TU UNATOSHA KUKUAMBIA MAMBO MENGI SANA KAMA UMRI, ELIMU, TAALUMA, IQ, MALEZI......
HUU UPUUZI UNAOENDELEA KUHUSU MKUU WA MAJESHI, NINAVYOONA MIMI, NI MJADALA WA WATOTO. NJE YA HAPO NI MJADALA WA WAHAINI NA USALAMA WA TAIFA HAWAFANYI KAZI YAO!
 
Ni sahihi kabisa kabisa,Jeshi haliongozwi na mambo ya kuzua zua hovyo,hajitokezi ataendelea na ratiba zake kama kawaida,afanyapo kazi zake haweki gari la matangazo kuzunguka mitaani kualika watu,kama hutaki hakuna atakayekulazimisha kwani hupunguzi chochote.

What if you won't hear/see him even after the election? Utaendelea kufikiria yupo na ratiba zake za kikazi nje ya nchi?! Haieleweki na haileti maana kiongozi mkuu wa jeshi kuwa ziarani katika kipindi cha uchaguzi mkuu it doesn't add up.
 
Acha kutudanganya bwana,kaka yake na General Mwamunyange sio kapteni.Alistaafu utumishi ktk jeshi la police akiwa na cheo cha SACP
 
Hii nayo CDM Wameifanya agenda ya kisiasa.Watu wa UVUMI NA PROPAGANDA.Kazi KWAO MAANA SIKU ZOTE KWENYE UCHAGUZI HAWANA AJENDA NI MATUKIO TU.
 
Cdm wanatapatapa kila uchao. Hizo ni dalali mbaya ya kifo cha mende baada ya uchaguzi. Wapuuzi sana. Kila siku mnazua jambo.
 
Hivi General Mwamunyange tangu lini akawa mwanasiasa...ni mara ngapi kwa mwezi mlikuwa mnamuona...uzushi huu lazima ukoneshwe hauna tija kwa Taifa.
 
Yule mama akiwa anahojiwa kajibu kwa hasira na ghadhabu eti anaetaka kumuona mwamunyange huyo ni nani maana hawajibiki kwake anawajibika kwa rais.

Huyo mama sijuo ndio dada yake ana uwezo na uelewa mdogo sana, anashindwa kuelewa mwamunyange ni public citizen,anawajibika kwa watanzania maana ndio wanamlipa mshahara,anachukulia ukaka yake na sio ukuu wa jeshi.

Cdf ni public citizen, watanzania wana haki wa kujua yuko wapi na anafanya nini, watu hawaulizii mwamunyange kaka yake, ukaka ni nyumbani, hapa wanaulizia mwamunyange kama cdf.
 
Hivi hana mke na watoto? maana hata watoto walioonyeshwa ni wa brother 'ke tena kea pozi za kuwakoga watu
 
Yule mama akiwa anahojiwa kajibu kwa hasira na ghadhabu eti anaetaka kumuona mwamunyange huyo ni nani maana hawajibiki kwake anawajibika kwa rais.

Huyo mama sijuo ndio dada yake ana uwezo na uelewa mdogo sana, anashindwa kuelewa mwamunyange ni public citizen,anawajibika kwa watanzania maana ndio wanamlipa mshahara,anachukulia ukaka yake na sio ukuu wa jeshi.

Cdf ni public citizen, watanzania wana haki wa kujua yuko wapi na anafanya nini, watu hawaulizii mwamunyange kaka yake, ukaka ni nyumbani, hapa wanaulizia mwamunyange kama cdf.

Huu UHURU wa MAWAZO Aliowapa KIKWETE Mnautumia VIBAYA SANA.
 
CHADEMA ijiandae kwa mapigo mawili mfululizo!

1. Kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mkuu hasa kwa nafasi ya urais.

2. Kuumbuka kwa kung'ang'ania uongo kuwa mkuu wa majeshi hayuko salama kiafya ilhali sio tu familia yake imekanusha hivyo, bali hata msemaji wa majeshi ya ulinzi na usalama nae amekanusha kuhusu uzushi huo.
 
una umwa wewe CHADEMA inahusikaje? Magufuli anahangaika tu huko mnapigwa kipigo cha mbwa koko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom