FAMILIA: Je, Unahitaji kuwa na Ndoa Imara, yenye Furaha na Amani? Soma hapa...

mkuu Eiyer, ninakaribia kuoa...
naandaa kadi ya mwaliko kwa ajili yako...
kumbuka, sio kadi ya mchango, kadi ya mwaliko..
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi hayana fomula ila yana changamoto za kufanana.
Kukabiliana nazo, kila mtu awe mbayu wayu.

Unahitajika kutoa ufafanuzi wa haya maelezo yako

Sijajua sababu ya kusema mapenzi hayana formula
Sijajua sababu ya wewe kusema mapenzi yana changamoto za kufanana
Sijajua sababu ya wewe kusema mtu anahitajika kuwa kama mbayu wayu!!
 
Nimekupata, binafsi naona % kubwa umegusa!
Naiahidi nafsi yangu kudiriki kuyatekeleza japo mengine nlishaanza kuyatimiza kitambo!
Asante sana kwa mtazamo wako!
 
kwangu mimi sio sifa ya kumuita husband material. kwanini awe mbahili kwanza?

Hujaniambia sababu ya yeye kutokuwa mbahili halafu naomba usi twist maneno yangu,sijasema mbahili nimesema mbahili kiasi maneno haya mawili yanatofauti kubwa kama vile K na Njia ya haja kubwa!
 
Back
Top Bottom