Familia inapochanganyikiwa

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
*Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee''*
 
hahahahahahaha umetisha mkuu, sema kwa experience yangu ikifika scene ya hvo ni mmoja kuondoka kimyakimya [aliye mdogo] au wote mnakausha kimya kama hamjaona kitu vile..
 
Ilinitokea moja tupo tumekaa sebuleni tunaangalia Poetic Justice Maza akaja kucheki nae ss kuna wakati jamaa nadhani anaitwa Chicago akawa anapiga mashine ndani ya deliver van Tupac anaendesha yaani kila mtu anaogopa kwenda kuchukua remote mezani. Maza kuua soo akaichukua remote akazima na TV yenyewe ikawa issue tuendelee au tuache kuangalia. Ikabidi tuuchune twende room mpk nite Kali ndio turudi kuangalia.
 
*Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee''*
Hahahaahaha
 
hahahahahahaha umetisha mkuu, sema kwa experience yangu ikifika scene ya hvo ni mmoja kuondoka kimyakimya [aliye mdogo] au wote mnakausha kimya kama hamjaona kitu vile..
Hiyo option ya pili ndo yenyewe .....
 
*Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia Movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani.. DINGI anapagawa ile kuua soo anakuulza "john ushapiga pasi GARI..!! Nawe ulivyojichanganya unajibu " umeme umekatika mzee''*
kwetu sisi utakuta mzee anaifokea tivi kwa hasira utaskia "watu hofu ya mungu hawana kabisa, hebu wekeni taarifa ya habari, huu ushetwani utatupeleka motoni huu"
 
Haaaaa haaaa ujue hapo dingi kaishiwa mbinu za kivita .......
 
Sisi nyumbani huwezi kuta baba anaangalia tivi na watoto mnajiweka hapo kila MTU kwa mda wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom