Haka kitoto kichanga kinaanza kujifundisha kimtandao sasa hapo akiwa kijana ndio atakuwa ni hatari sana na siri zote za inchi za marikani israili na urusi zitakuwa anazijua yeye tu na atakuwa tajiri sana kwa ugunduzi wake na sisi huku ugunduzi wetu ni bangi na ukibaka tu na usanii wa kudokoa mabenki na misifa tele