FAM ni Zito Kabwe aliechangamka.

FAM ni Zito Kabwe aliechangamka.

Kakumamoto

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Posts
1,497
Reaction score
2,218
Salama Wakuu, sasa nimeamini adui namba moja wa demokrasia na siasa za vyama vya upinzania ni Freeman Mbowe. Wanachama wa CDM wameteswa na wengine kuuwawa na kupotezwa kumbe FAM anajua na anaangalia tu na kengeza lake, katili sana mtu huyu. Hana tofauti na Zito ila yeye kachangamka kuliko Zito. Ni mwenye tamaa ya fedha na yuko tayari watu wafe ili aipate. Mtu hatari kabisa
 
Ila damu ya Ally Kibao haitamuacha salama hata kidogo maana yeye ndiye alitoa assist kwa wasiojulikana baada ya mzee kugusia mabilioni ya Dully ndani ya Chadema.
 
Back
Top Bottom