Falsafa za wanawake wasioolewa

Falsafa za wanawake wasioolewa

hivi kwanimi mwanamke asipoolewa mapema akavuka miaka thelathini...huwa anasimangwa sana na watu hadi jamii anayoishi
lakini
mwanaume akicheleqa kuoa wala hasimangwi..
wahenga walisema ng'ombe hazeeki maini
 
[HASHTAG]#MZEETOLA[/HASHTAG],

Her life , its her choice!

Sasa wewe tatizo lako nini!?

Mfano, Binti tangia anazaliwa kwao hajawahi kuchapwa wala kufokewa.

Leo, mwanaume anamwambia huyo Binti. Ze ze time I see you, I love you, you know , ze ze ze love. I have for you , its killing you.
Haaa haaaa teeh teeeh haaa English mbovu kama hiyo hapo, ila linaongea kwa upole na sitaha!

Then, hilo limtu baada ya wiki , moja ama mbili ghafula linaanza kuongea kama Simba anayeunguruma porini, na kujifanya bondia kwa Binti/mwanamke hapo unadhania wanawake wote watapenda kuolewa!?

Any way, kama wewe ni mwanaune, acha unaaa,
Kila mtu aishi maisha yanayompa furaha na siyo kufurahisha vikaragosi wasio kuwa na shukurani maishani .

Baadhi ya wanaume tunajifanya vichwa maji.
mwanaume hawezi toa povu namna hii

wewe ni ke, uko above 30, hujaolewa, and you probably got a kid or two.

hivi unajisikiaje unapotoka out halafu ukaona ke wenzako wako na waume zao wakila bata? pity I reckon
 
Hahahahahaha! Kama alishawahi olewa kabla then akaachika,ndo anazungumza falsafa hiyo.lakini hajawahi hata kuolewa anazungumza hivyo kufariji moyo,na kujipa matumaini.utamu wa ngoma uingie uicheze.
ila kimsingi umuhimu wa ndoa,ukitoa imani,si jambo la maana sana..ni saikolojia tu,huko kwenye ndoa naona joto sana,wanandoa wengi wa kike wanafata faraja kwangu
 
mwanaume hawezi toa povu namna hii

wewe ni ke, uko above 30, hujaolewa, and you probably got a kid or two.

hivi unajisikiaje unapotoka out halafu ukaona ke wenzako wako na waume zao wakila bata? pity I reckon

Siyo Kweli.

Unabashiri.
 
Kimsingi kutokuolewa au kutokuoa siyo dhambi (Siyo lazima) kidini maana mambo hayo ni sunna (Ukitimiza unapata thawabu japo pia ukiacha hupati dhambi), lakini ikiwa umeamua kuishi bila kuoa au kuolewa hutakiwi kukutana kimwili (kujamiiana) maana nje ya ndoa jambo hilo huesabika kuwa ni zinaa.

Jambo hili (kutoolewa) linaonekana kuwa suala la lazima kwa mtizamo wa kitamaduni kwa kuwa ndiyo chanzo halali kwa familia tangu zama za kale hivyo basi ikiwa msichana au kijana wa kiume ameamua kuishi bila kuolewa basi asijamiiane pia asizae lakini ikiwa atazaa nje ya ndoa jamii itamchukulia kuwa amekosa na hata akijitetea kuwa hapendi ndoa jamii itaona kuwa ni muongo tu (sizitaki mbichi hizi).

Binafsi sioni ubaya kwa mtu kuishi bila kuolewa au kuoa maana wengine yaliishawakuta makubwa kiasi kwamba hawatamani ndoa. Ila kuna wengine hadharani hujifanya hawapendi ndoa lakini sirini (mioyoni) wanaitaka hata leo.
 
mwanaume hawezi toa povu namna hii

wewe ni ke, uko above 30, hujaolewa, and you probably got a kid or two.

hivi unajisikiaje unapotoka out halafu ukaona ke wenzako wako na waume zao wakila bata? pity I reckon
Kumbe umeona mkuu! Anajifanya wa kiume kumbe amefikisha 30 jua linaanza kuzama,ankuja kujifariji.
 
Kimsingi kutokuolewa au kutokuoa siyo dhambi (Siyo lazima) kidini maana mambo hayo ni sunna (Ukitimiza unapata thawabu japo pia ukiacha hupati dhambi), lakini ikiwa umeamua kuishi bila kuoa au kuolewa hutakiwi kukutana kimwili (kujamiiana) maana nje ya ndoa jambo hilo huesabika kuwa ni zinaa.

Jambo hili (kutoolewa) linaonekana kuwa suala la lazima kwa mtizamo wa kitamaduni kwa kuwa ndiyo chanzo halali kwa familia tangu zama za kale hivyo basi ikiwa msichana au kijana wa kiume ameamua kuishi bila kuolewa basi asijamiiane pia asizae lakini ikiwa atazaa nje ya ndoa jamii itamchukulia kuwa amekosa na hata akijitetea kuwa hapendi ndoa jamii itaona kuwa ni muongo tu (sizitaki mbichi hizi).

Binafsi sioni ubaya kwa mtu kuishi bila kuolewa au kuoa maana wengine yaliishawakuta makubwa kiasi kwamba hawatamani ndoa. Ila kuna wengine hadharani hujifanya hawapendi ndoa lakini sirini (mioyoni) wanaitaka hata leo.
Hahahaha! Umeongea sahihi mkuu! Sio unajifanya hutaki ndoa huku unatafuta kidume kikupige mimba ulee motto.
 
Pole tena Pole sio kila alieko nyumbani Hujapata mtu sahihi kuelewa ni maamuzi yA mtu na ndoa hailazimishwi usiwadisapoint watu kakua ulikua disappointed pia ungekua sehem nzuri NA yenye Furaha sidhani kama ungekuja *kutukana inaonesha unamachungu wataka kushair Pole maskini WA Mali NA Roho najua utatukana Ila ujumbe umefika
 
Hahahaha! Umeongea sahihi mkuu! Sio unajifanya hutaki ndoa huku unatafuta kidume kikupige mimba ulee motto.
kuzaa NA ndoa nivitu tofauti Lakini kWA wATU kama wew hawawez kuelewa
 
Mkuu, unacheka eeeh!?
Haya maisha, kila mtu bora aishi anavyoona ni rahisi kwake na anafurahia maisha.

Ukitaka kufurahisha kila mtu, ni bora ukauze ice creams , maana ndizo mteja akionja tu ni lazima atabasamu.

Mimi ni mwanaune. Ila naona kuwa , kama mwanamke ama mwanaune anaamua kutoolewa/ kuolewa na yuko na amani acha aishi apendavyo.

Any way, her life, its her choice!
tatizo anataka tuish kama yeye amezoa wote tuolewe
 
Maisha, siyo kuolewa/ ndoa tu kuna mambo mengi zaidi ya hiyo kuoa na kuolewa.

Acha kukariri vitabu na machapisho yaliyojaa porojo.

Any way, her life, its her choice.
Kwa mwanamke ni KUOLEWA na kwa mwanaume ni KUOA,hayo ndio maisha na ndio heshima na utu wa binadamu ulipo,na kama ujaolewa au kuoa au uishi na mwenza wako na una miaka zaidi ya 30 basi bila shaka wewe unatatizo la mwili wako au tabia yako. (sizungumzi wenye matatizo yanayowafanya wasioe au kuolewa nazungumzia watu waliokamilika viungo vyao na akili zao.) Huu ndio ukweli kuanzia kwenye vitabu vya dini zote hadi ktk mamlaka za kiutawala mwenye kuoa au kuolewa ndio wenye kuheshimika na HII SIO KUKARIRI ILA NDIO UKWELI AMBAO WENYE CHOYO,WAFUSKA, NA WENYE TABIA MBAYA ZOTE NDIO UJITETEA KWA MANENO KAMA HAYO
 
Ni jamii yako na jamaaa zako wamekujenga hivyo nawe unawaza hivyo walivyo kujenga.

Ila pana watu wapole , very decent but they don't any biological probs or any other defaults but, still they are not married.

Kuoa au kuolewa kwa mwanaune ama mwanamke it's a Choice
 
hivi kwanimi mwanamke asipoolewa mapema akavuka miaka thelathini...huwa anasimangwa sana na watu hadi jamii anayoishi
lakini
mwanaume akicheleqa kuoa wala hasimangwi..
Wanamsimanga wapumbavu,na msimangwaji akiwa mjinga anajishushia thamani kwa kujali masimango,
Maisha ya kila mtu yananjia tofauti na mwingine,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom