falsafa ya mahusiano ktk jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

falsafa ya mahusiano ktk jamii

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Remote, Jan 12, 2012.

 1. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  [h=6]{1}Usikubali mtu usiyemjua kuzoeana nae ghafla.
  {2}Unapoitwa ghafla usigeuke, puuza kama husikii ili kupima sauti ni yanani?
  {3}usipendelee kutumia njia moja, badilisha njia nyengine ili usiwe maarufu kwa njia fulani.
  {4}Popote utakapo kwenda,fanikisha shida yako iliyokupeleka.
  {5}Epuka kuchunguza kitu kisicho kuhusu na epuka kulaumu hadharani.
  {6}Jitahidi kumuelewa mtu tabia yake.
  {7}Mjali mwezako tunza siri na jitahidi kutimiza ahadi.
  {8}Ukiaminiwa basi na wewe ujiaminishe, usiwe na tabia ya kuwazarau watu.
  {9}Ridhika na ulicho nacho. have a nice day to y'all[/h]
   
 2. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  That's true. Thanks!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Imetulia. . . . .
   
 4. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Asante kwa ushauri.
   
Loading...