falsafa bora ya maisha yako:-

falsafa bora ya maisha yako:-

madeinmusoma

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
326
Reaction score
391
1.Usikubali kuzoeana ghafla na mtu usiemjua.
2.Unapoitwa ghafla usigeuke,puuza kama husikii ili kupima sauti ni ya nani?.
3. Usipendelee kutumia njia moja,badilisha njia nyingine ili usiwe maarufu kwa njia fulani.
4.Popote utakapokwenda fuata shida yako iliyokupeleka.
5. Epuka kuchunguza kitu kisichokuhusu na epuka kulaumu hadharani.
6.Jitahidi kumjua mtu tabia yake.
7.Mjali mwenzako tunza siri najitahdi kutimiza ahadi.
8.Ukiaminiwa basi na wewe jiaminishe.
9.Usiwe na tabia ya kudharau wenzio.
10.Ridhika na ulichonacho.
Kwa Mungu useme Asante. Fuata haya naamini yatakusaidia
 
Back
Top Bottom