tracy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 784
- 269
Jasnira, tatizo hawa wakaka wetu inapofikia kwenye matumizi ndio wanakumbuka usawa.........jamani kuna sehemu nyingine usawa hauapply aisee............ na kwa wanawake wanaojua haki zao na za wenzi wao mbona mukide tu. Aisee I am a lady, and have been raised to be a lady so there is no way nitaiabuse haki yangu pale ninapostahili. Kudeka kwa mpenzi wangu ni haki yangu especially pale ambapo nastahili kudeka (Nimeona mende chini ya meza, ntaruka na kupanda juu ya meza na ukunga juu............ you know why? I have a man, my protector at home, ni kazi yake kunilinda ati. So the same when it comes to paying bills, as long as we love each other and when he can................. I have to give him haki yake ya kuniprotect, kuprovide kwangu na kuprofess mapenzi yake kwangu. Ni haki yake na ni wajibu wangu kumfanya ajisikie kuwa yeye ni mwanaume, HE IS A MAN.
Act like a lady,think like a man..love it
tatizo naona kwa baadhi ya wanaume responsibilities zao ndo hapo wanaona ugoldgigger(when it comes to providing)
na wengine ndo these days wanataka wanawake wawe providers..
ila sijui ni mimi au,cant men really differentiate a goldigger and a woman who simply needs a man around?maana wanalalamika sana..if i was a man then sidhani kama ingekua ngumu(my opinion)
Last edited by a moderator: