Falsafa waitumiayo mademu kuhalalisha kuhongwa..

unapiga chini tu mwambie unaitaji wife material
 
" I AM NOT CHEAP" Hii ndio falsafa itumiwayo na wasichana wa mujini katika kuhalalisha kuhongwa...

Hahahahh eti am not cheap, huyo anakuandaa kisaikolojia kuwa mtoa huduma mkuu. Mwanamke mwenye heshma zake atakujulisha wazi kuwa she is a lady and she has needs............. you better get that in your head. So do not expect her to ask you to take care of her as your lady.............. like taking her to dinner (and pay), be there for her when she need you the most.... kama ana gari, gari yake imeharibika, hire a cab for her if you can not give her a ride, Maaan.
 
HAHAHAHAHHAHAAH!!!!!!!!!!! MJINI INAPENDWA PESA HAPENDWI MTU!!!
Do you expect me to pay for the cab, dinner and the like while you are the one who proposes for it??? Kama huna udongo wa somalia you are jst wasting your time and energy dude!!!

Siku hizi huwa tunasema wazi kabisa you have proposed for dinner, basi jua kama nina gari MNYONYO UNAKUHUSU, LA TOA UDONGO WA KISOMALI WATU TUHIRE CAB!!
 
kwa wale wakongwe huyo anayeleta nyodo za namna hiyo ndiyo huwa anakupa homework nzuri ya kuhakikisha unamla tena kwa mkopo!hapo ni timing tuu inatakiwa!!!
 
HAHAHAHAHHAHAAH!!!!!!!!!!! MJINI INAPENDWA PESA HAPENDWI MTU!!!
Do you expect me to pay for the cab, dinner and the like while you are the one who proposes for it??? Kama huna udongo wa somalia you are jst wasting your time and energy dude!!!

Siku hizi huwa tunasema wazi kabisa you have proposed for dinner, basi jua kama nina gari MNYONYO UNAKUHUSU, LA TOA UDONGO WA KISOMALI WATU TUHIRE CAB!!

Hahahah Umenikumbusha Da Mdogo lara 1 ati...... ah eti udongo wa somalia
 
Last edited by a moderator:
Hahahahh eti am not cheap, huyo anakuandaa kisaikolojia kuwa mtoa huduma mkuu. Mwanamke mwenye heshma zake atakujulisha wazi kuwa she is a lady and she has needs............. you better get that in your head. So do not expect her to ask you to take care of her as your lady.............. like taking her to dinner (and pay), be there for her when she need you the most.... kama ana gari, gari yake imeharibika, hire a cab for her if you can not give her a ride, Maaan.

nimekupenda bure, mwanaume kama anamwanamke mmoja mbona easy tatizo sasa kama mtu anaowengi hata mapenzi hana kabisa, ur the best u gal is lucky (like Michelle and obama)
 
Jasnira, tatizo hawa wakaka wetu inapofikia kwenye matumizi ndio wanakumbuka usawa.........jamani kuna sehemu nyingine usawa hauapply aisee............ na kwa wanawake wanaojua haki zao na za wenzi wao mbona mukide tu. Aisee I am a lady, and have been raised to be a lady so there is no way nitaiabuse haki yangu pale ninapostahili. Kudeka kwa mpenzi wangu ni haki yangu especially pale ambapo nastahili kudeka (Nimeona mende chini ya meza, ntaruka na kupanda juu ya meza na ukunga juu............ you know why? I have a man, my protector at home, ni kazi yake kunilinda ati. So the same when it comes to paying bills, as long as we love each other and when he can................. I have to give him haki yake ya kuniprotect, kuprovide kwangu na kuprofess mapenzi yake kwangu. Ni haki yake na ni wajibu wangu kumfanya ajisikie kuwa yeye ni mwanaume, HE IS A MAN.
 
Last edited by a moderator:
HAHAHAHAHHAHAAH!!!!!!!!!!! MJINI INAPENDWA PESA HAPENDWI MTU!!!
Do you expect me to pay for the cab, dinner and the like while you are the one who proposes for it??? Kama huna udongo wa somalia you are jst wasting your time and energy dude!!!

Siku hizi huwa tunasema wazi kabisa you have proposed for dinner, basi jua kama nina gari MNYONYO UNAKUHUSU, LA TOA UDONGO WA KISOMALI WATU TUHIRE CAB!!

Sasa kwa nini amtembei na price-tag?? lol
 
WHY SHOULD WE????
The issue is wee unayepropose you have to know the thing prio.............lol!

HAPA MJINI WENZIO TUNA TOTAL CARD MNYONYO HAUNIHUSU, RL HNDO USISEME PAMOJA NA MAINTANANCE, ACHILIA MBALI BIMA. HAPO HUJAKUJA KWENYE PAMBA NA MJENGO............Tulia kabisa best mengne maji marefu huyapimi kina kwa mguu!!!!!!!!!!! mwenye nguvu mpishe babuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jasnira, tatizo hawa wakaka wetu inapofikia kwenye matumizi ndio wanakumbuka usawa.........jamani kuna sehemu nyingine usawa hauapply aisee............ na kwa wanawake wanaojua haki zao na za wenzi wao mbona mukide tu. Aisee I am a lady, and have been raised to be a lady so there is no way nitaiabuse haki yangu pale ninapostahili. Kudeka kwa mpenzi wangu ni haki yangu especially pale ambapo nastahili kudeka (Nimeona mende chini ya meza, ntaruka na kupanda juu ya meza na ukunga juu............ you know why? I have a man, my protector at home, ni kazi yake kunilinda ati. So the same when it comes to paying bills, as long as we love each other and when he can................. I have to give him haki yake ya kuniprotect, kuprovide kwangu na kuprofess mapenzi yake kwangu. Ni haki yake na ni wajibu wangu kumfanya ajisikie kuwa yeye ni mwanaume, HE IS A MAN.

Dada yangu nakukubali, tena sema,,, u knw how to play with dude's....hongera..
 
WHY SHOULD WE????
The issue is wee unayepropose you have to know the thing prio.............lol!

HAPA MJINI WENZIO TUNA TOTAL CARD MNYONYO HAUNIHUSU, RL HNDO USISEME PAMOJA NA MAINTANANCE, ACHILIA MBALI BIMA. HAPO HUJAKUJA KWENYE PAMBA NA MJENGO............Tulia kabisa best mengne maji marefu huyapimi kina kwa mguu!!!!!!!!!!! mwenye nguvu mpishe babuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
My God, it seems papuchi is quite a good investment!
 
WHY SHOULD WE????
The issue is wee unayepropose you have to know the thing prio.............lol!

HAPA MJINI WENZIO TUNA TOTAL CARD MNYONYO HAUNIHUSU, RL HNDO USISEME PAMOJA NA MAINTANANCE, ACHILIA MBALI BIMA. HAPO HUJAKUJA KWENYE PAMBA NA MJENGO............Tulia kabisa best mengne maji marefu huyapimi kina kwa mguu!!!!!!!!!!! mwenye nguvu mpishe babuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!

una hivyo vyote halafu bado unataka kulipiwa hata taxi???una total card bado unataka ulipiwe mafuta ukialikwa dinner.....kwa mtaji huu hata uwe na nini UR CHEAP.....
 
Soma uelewe sijui unasoma kirumi wewe???????????/
 
WHY SHOULD WE????
The issue is wee unayepropose you have to know the thing prio.............lol!

HAPA MJINI WENZIO TUNA TOTAL CARD MNYONYO HAUNIHUSU, RL HNDO USISEME PAMOJA NA MAINTANANCE, ACHILIA MBALI BIMA. HAPO HUJAKUJA KWENYE PAMBA NA MJENGO............Tulia kabisa best mengne maji marefu huyapimi kina kwa mguu!!!!!!!!!!! mwenye nguvu mpishe babuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!

complication zote hizo zanini,bora kuchukua changudoa,mnaelewana faster,unamaliza shida zako NO STRING ATTACHED.
 
Back
Top Bottom