hata mm nliwaza hivohivo lakin kilichonishtua ni kwamba wamewezaje kupata personal informations kama phone number,email address,matokeo ya form 4 na6,physical impartment na postal address za watu wote wale????? jiulize....!!!!! huenda ni kweli¡¡¡¡¡¡
huwa hapa jf hatupost vi2 ambavyo tunahis incase u didnt knw..ukipost ki2 kama umeckia inatakiwa uwe na proof na sio kukurupuka tu
Kama unapost ki2 ambacho unahic its better to keep it in ur own head na sio kuja kujaribu kuwapa wa2 false hop na kuwatia presha..
Behave, this z a gr8t thinkerz platforn n not some funky site..
HAHAHhahahhaahha kumbe ni junior member karibu jf!! inaonekana ulikua unapenda upangwe ud ila bahat haikua yako,,,usikonde ungana nami na wengine tungoje tcu watoe selection za vyuo vingine!!!! hahahahahha
ni kweli senior kunakujipa moyo bt huku kumepitiliza hakuna uchakachuzi wa namna hiyo mpaka detailz za form four hahahahaha hakunaga!!!!! mi nawapa hongera wote mliochaguliwa UDSM