Fake ORGASM

Orgasim haijifichi kama ni mtalaam utaigundua tu hao wanaopata feki nawapa pole mi sijawahi kupata feki I always get really ones! Ni mambo ya mautundu tu!
 
Kabazi: hujakutana na mafundi weye! usiwalaumu wenzio bure hapa! Na wala usijione mjanja sana! Wewe leta elimu uliyonayo how can we differentiate the the real ones na fake ones!

kama watu wanaweza kuwa na fake virginity.................
 
Kabazi: hujakutana na mafundi weye! usiwalaumu wenzio bure hapa! Na wala usijione mjanja sana! Wewe leta elimu uliyonayo how can we differentiate the the real ones na fake ones!

kama watu wanaweza kuwa na fake virginity.................


hivi inawezekana nishaibiwa sana eeh!!?ila ya fake virginity rahisi sana kutambua mkuu esp.kama umewahi kupata ya ukweli!
 
mmmmmm..... interesting mbona hi kitu is very hard to fake......it either happens or does not..ther are no two ways. :target:
 
Kwanini wanawake wanadanganya?
Kwanini wasiseme kweli kuwa tumewaacha njia panda ili tujue ni namna gani tuwasaidie wafike kileleni?

Mimi nadhani kuna matatizo mawili hapa.

Moja, kuna uwezekano mwanamke mwenyewe hajawahi ku-experience orgasm hivyo kimsingi haijui inakuwaje (tafiti nyingi zinaonesha karibu 75% ya wanawake hawafikii orgasm!). Na mbaya zaidi hata baadhi ya wanaume pia hawajui mwanamke akipata orgasm anakuwaje (physical signs za orgasms). So mwanamke wa jinsi hii hata ukimuuliza kama amefika ama la hawezi kusema kwa uhakika. Katika hili suluhu ni kwa wanawake/wanaume kutafuta elimu juu ya hili na pia kujitambua miili yao.

Tatizo la pili, ndio hilo la kudanganya. Ili mtu aweze kudanganya ni lazima awe anajua ukweli ni upi (i.e. awe anajua mwanamke aki orgasm anakuwaje) na pili anaedanganywa pia lazima awe anajua ukweli lakini anakosa 'uzoefu' wa kutofautisha 'fake' na 'genuine'. Sababu hasa za kudanganya ni nyingi kwa mfano kama ni 'changudoa' ni lazima amwonyeshe 'customer' wake 'value for money' na 'transaction' iishe haraka ili akahudumie wengine.

Lakini kwa ujumla tatizo kubwa ni ukosefu wa maarifa hasa kwa sisi wanaume. Tuna papara mno ya game na mara nyingi tunakuwa wabinafsi mno. Ukiangalia hiyo percentage ya wanawake wasiofikia orgasm utaona jinsi tunavyowadhulumu wanawake.

Kwa ukweli kuna vitu ambavyo sio rahisi mwanamke kufake na kama mwanaume yupo makini ni rahisi mno kung'amua. Kwa mfano hertbeats, vaginal muscle contractions, uncontrollable twitches, skin colour, nipples etc. Achana na wale wanaotoa maneno mengi......tena ukisikia wanayatamka bila hata kubabaika....most likely unaibiwa!
 
Inasemekana wakati mwingine hata umfudishe vp hafundishiki hajui pa kushika unamuonyesha kila siku na kumwambia me napenda hv,me napata raha ukinishika kwenye kine... na kwenye ja... na kiu... lkn yeye anjitaka kuaidi yeye tu matokeo yake watu wana fake ili mradi tu amalize yaishe
 
smu! natoa mwito kwako na kwa wanawake humu ndani; mi sioni soo kusema sijui! Nifundisheni bana!

I believe una somo la kutufunza;

tielezeeeeeee
 
smu! natoa mwito kwako na kwa wanawake humu ndani; mi sioni soo kusema sijui! Nifundisheni bana! I believe una somo la kutufunza; tielezeeeeeee

Nadhani wengi wangechangia hii mada kwa uhuru zaidi kama ingewekwa kule kwa 'wakubwa'!
 
Hivi wanaume hawafeki orgasm pia?

hapo ndo tulipowazidi ujanja! Hawawezi ku-fake ng'oooo! Wewe mtu kaondoka asubuhi, kutwa nzima hata ka-sms kakukutongoza. Anarudi saa nne usiku na pombe zake zilizochachia mdomoni, (saa ingine kagoma kuoga, hahahahaa), afu anataka ndo! Lolz!
 
Katerero nasikia inahakikisha hakuna fake orgasm.May be wenzetu mnayoijua na kupractise tuambieni.
 

Hii ndio naifahamu mimi, lazima mwanaume usikie mashine yako kama inakamatwa na kuachiwa kule ndani! Ili orgasm ifikiwe lazima kuwe na maandalizi ya kutosha na kujua wapi pa kushika na namna ya kushika. Na wakati wa mchezo hakikisha unagonga/ unagusa muda wote sehemu nyeti mbili aidha kwa pamoja au moja moja kwa awamu - sehemu hizi ni G-spot/ bulb na Clit. Ukitaka kuifahamu G-spot au bulb weka sehemu ya juu ya ulimi (tongue tip) wako kwenye meno yako ya juu ya mbele kwa nyuma yake (ndani ya mdomo) halafu tafuta yanapokutana na fizi, utasikia kama ka-mwinuko (a small ridge), na kule kwa mwanamke kapo hivyo. Ukitaka mdada akufuate kila dakika anataka gemu, basi wewe mfanye afikie blended orgasm (inayoletwa na hivyo viwili kwa pamoja); pia flavour ya orgasm ya clit na G-spot ni tofauti! Ukitaka kuishambulia G-spot kwa sana piga style ya inayoitwa 'dog style', halafu omba msaada wa kidole kuishighulikia clit ile upige 'blended orgasm' mwanadada hawezi kusikia kidole bali tamu tuuu!

Pia mwanamke akifikia climax huwa analegea, yaani awezi kumaliza gemu na kutimua.
 

Ukimcharaza namna hii hata huyo changu, atakutafuta mkutane mchana ili uwe anakupatia hilo apple bureeeee!
 
mmmh watu mnaijua fani hapo nimepata shule ya ufizi na meno lol kweli kuwa ujifunze
 
smu! natoa mwito kwako na kwa wanawake humu ndani; mi sioni soo kusema sijui! Nifundisheni bana!

I believe una somo la kutufunza;

tielezeeeeeee


Asante kwa 'kudadavua' vema!
 
Mwanamayu asante sana; lkn pia hizo namna na sehemu za kushika nisije nikawa napapasa blindly!
 
Hakikisha mkeo au mpenzi wako wa kike asiione hii document, kwani inapendeza akijua kuwa you are creative and innovative! Kwa mwanadada sijui utampatiaje bwana yako? Ila we print na umpatie huku ukisema "aha kuna li-mtu ofisini au kwenye mtandao limetutumia huu upuuzi"! Tayari utakuwa umefikisha elimu muhimu kwake. Sasa fungua attachment (aina picha, bali content yake itatengeza picha kichwani kwako) niliyoweka hapo chini ujizolee elimu ya kutunza ndoa yako au kufikia burudani iliyodhamiriwa. Mkeo au mwanamke wako anaweza kushtuka unapocheza na namba 7. akishtuka wewe mbwagie ili doc asowe mwenyewe.

Fuata hizi guidelines zote kwa mkeo au mchumba wako ambaye utamuoa, la sivyo utang'ang'aniwa na wa kiburudisho tu - yalishanikuta hayo!
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…