Fake news: Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) laomba radhi kwa kupotosha umma

mwafa

Senior Member
Mar 9, 2017
116
33
Katika taarifa ya habari muda huu TBC imekiri kutangaza fake news.

IMG_4166.JPG


Chanzo: TBC habari

Je, hii itawanyamazisha TCRA?
 
  • Thanks
Reactions: 999
TCRA wao ni wakali kufungia vyombo vinavyompinga mtukufu lkn vile vinavyosifia hata kama ni uwongo hivyo vinapeta tu.
Hata kama unatoa habari ya hovyohovyo ili mradi inamsifia mtukufu we ni kula bata
 
Kuwalazimisha "Tuberculosis Channel" (TBC)watuombe radhi si jambo sahihi,mbona yule aliyelidanganya Taifa kuwa Saddam Hussein ni rais wa Kuwait hajatuomba radhi hadi leo?Hii ni nchi ya kizushi tu,dhambi ya kuizika nchi ya Tanganyika,nchi iliyopiganiwa na mababu zetu itazidi kututafuna hadi pale Tanganyika yetu itakapohuishwa.
 
Back
Top Bottom