Hahaha, ila pia title ya huu uzi ina shida, ukisema kikwete's unamanisha ni ya kikwete maana hiyo 's hutumika kuonesha umiliki kwa mujibu wa English ya std 1Musiba huyo
Haha haha hahaMusiba huyo
Wanachojua ni kuongeza gharama za vifurushi tu ila udhibiti umewashinda kabisa.View attachment 1745191
Huu ujasiri Watanzania tunaupata wapi?
TCRA, Polisi , wako kimya, wameshindwa kumkata huyu aliyefoji account ya Mzee Kikwete?
Mmeshindwa kwa Kigogo, na Sasa mmeshindwa tena kwa huyu anayechafua na kuharibu image ya rais mstaafu.
hahaha, ila pia title ya huu uzi ina shida, ukisema kikwete's unamanisha ni ya kikwete maana hiyo 's hutumika kuonesha umiliki kwa mujibu wa English ya std 1
Wabaya sanaHao ni akina Msiba na nduguze
Unakwama wapi?Mbona wenzetu tweeter inafanya kazi??
Ova