Tushawachoka sasa..
mkuu nina maswali hapo kwenye red we umejuaje? hapo kwenye blue itabidi useme ni nini ili tujue umejuaje? au ndo kakupata na wewe wakati umeshasema hapo kenye kijani?Dada mmoja alikuwa anasema,hawa wanaume siku hizi ni fake
kweli,ni wanaume suruali tu.
Kalalamika kweli,nili muuliza swali moja tu,wanaume wote unawajua?
Akasema,..."ndo wale wale tu,hamna kitu".
Sikuongea tena.
Lakini katika kumtazama kwangu bila yeye kujua,chini mpaka juu
niliona yafuatayo.
Alikuwa na Nywele fake (bandia).
Alikuwa na Kucha fake (bandia).
Alikuwa na nyusi fake (bandia).
Alikuwa na rangi fake,mchubuo.
Alikuwa na maziwa ambayo ukiyaona kabisa ni fake (mchina).
*************hiki cha mwisho sitakisema ila ni fake pia.
Nika jiuliza sana,huyu kila kitu kwake ni fake,bado anategemea apate
mwanaume original?
Watakao mfuata ni fake,maana nao wanafurahishwa nae siku moja tu then wana
kimbia coz ufake unachosa haraka.
Yes,alikuwa sahihi,wanaume wote alio kutana nao ni fake,maana yeye ni fake
in the first place.
Kuwa ulivyo,ili upendwe kama ulivyo.
mkuu nina maswali hapo kwenye red we umejuaje? hapo kwenye blue itabidi useme ni nini ili tujue umejuaje? au ndo kakupata na wewe wakati umeshasema hapo kenye kijani?
hivi kope zangu ndio umenirusha......?
hebu rudisha bwana....nataka niziweke pasaka hii....mtu chake ananipeleka kisiwani....Mafiaaaaa,,,,,
Dada mmoja alikuwa anasema,hawa wanaume siku hizi ni fake
kweli,ni wanaume suruali tu.
Kalalamika kweli,nili muuliza swali moja tu,wanaume wote unawajua?
Akasema,..."ndo wale wale tu,hamna kitu".
Sikuongea tena.
Lakini katika kumtazama kwangu bila yeye kujua,chini mpaka juu
niliona yafuatayo.
Alikuwa na Nywele fake (bandia).
Alikuwa na Kucha fake (bandia).
Alikuwa na nyusi fake (bandia).
Alikuwa na rangi fake,mchubuo.
Alikuwa na maziwa ambayo ukiyaona kabisa ni fake (mchina).
*************hiki cha mwisho sitakisema ila ni fake pia.
Nika jiuliza sana,huyu kila kitu kwake ni fake,bado anategemea apate
mwanaume original?
Watakao mfuata ni fake,maana nao wanafurahishwa nae siku moja tu then wana
kimbia coz ufake unachosa haraka.
Yes,alikuwa sahihi,wanaume wote alio kutana nao ni fake,maana yeye ni fake
in the first place.
Kuwa ulivyo,ili upendwe kama ulivyo.
Kuwa ulivyo,ili upendwe kama ulivyo.
Word....
nimekurewa bhana...Aaaaa mura,usiniangushe mbane.
Hata hilo hujui?....kweli huna macho,nitakupa fimbo utembelee.
uncle hujanionea wigi langu chumbani kwenu? Aunt alilichukua.
Anti yako yuko nechero....wigi la nini tena....afu kwetu hatuna mambo ya kishirikina
kwani mawigi ushirikina! Mmh, kweli mambo yetu hamyajui.
Aaaaa mura,usiniangushe mbane.
Hata hilo hujui?....kweli huna macho,nitakupa fimbo utembelee.
Mkuu, hapo umenifurahisha sana! Hata noti anayopewa huyu changua doa ni feki baada ya kupewa penzi feki toka kwa mwanaume feki. Each and every thing is fake now!