Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
we mwana we, mbona unapiga kichwani utani gani huu, lah!
Si nafasi zimetolewa kwa style ya kutoa nishani za miaka 50 ya uhuni wa CCM?
Faiza Foxy hatajibu hili kamwe, huwa hajibu hoja za msingi snsn huishia kuleta ufukunyuku wa kukwepa mada. Just like other gambarus
Msemaji mkuu wa CCM mtandaonifaizafoxy ndo mdudu gani?
OK! Nilishawah kuskia habari zake kuwa anajidai msemaji mkuu wa jf, anadharau na majigambo na ukimzidi kete anakusababishia ban, nadhani huyuhuyu ndo aliyemsababishia dada yangu ANGEL MSOFFE BAN! Ok ajitokeze hapa haraka ajibu swali haraka!Msemaji mkuu wa CCM mtandaoni
Siku hizi JF mtu akitaka thread yake ipate mvuto lazima atumie jina la FAIZAFOX!
Sasa katika hili FF anaingia vipi wakati TFF ndiyo imempa hiyo nafasi.
B.t.w unadhani kuwa mkuu wa mkoa maana yake hupaswi kuwa na hobbie? Obama anacheza sana golf na anaongoza linchi likubwa, sembuse mkuu wa mkoa!
Take it easy mdau...
Swali limemlenga kwa kuwa yeye ndio mwenye kutetea uozo wa CCM humu jamvini na wala usifikiri tunamfagilia wala nini.
Nikirudi kwako, ile haikuwa kozi ya hobi, ni kozi kwa ajili ya kunoa viwango vya makocha wetu. Sasa kuna hobby inaitwa 'ukocha'? Huyo mkuu wa mkoa hajui kuwa wanaostahili kwenda ni makocha na sio yeye? Manake naona hapa utetezi wako ni kuwa TFF ndio wamempa, je, TFF wangemwambie aende kwa Kameruni Devi angekwenda kwa kuwa kaambiwa na TFF?
Wewe na FF mko sawa sawa. Hakuna justification ya kitoto namna hiyo ya kuficha ukengeufu uliofanyika pale. Ni huu mtindo wa kukimbilia posho, na hakuna zaidi. Na hii ndio shida ya kuwekwa badala ya kuchaguliwa na wananchi.
...kweli serikali iliyopo madarakani inajua inachokifanya kuendeleza sekta yeyote nchi hii iwapo mkuu wa mkoa anateuliwa kuchukua mafunzo ya ukocha?
Mkinipa jibu la maana kesho nachukua kadi niwe magamba.
Kwanza kabisa badilisha ID yangu sio Faizafox ni FaizaFoxy, waombe mods wabadili au nta report "name calling".
Pili nakuomba soma hii halafu fata link: WATCH: What Can Politicians Learn from the World of Sports? - BCNN1
George Allen knows a thing or two about politics.
He spent four years as the governor of Virginia and served as a congressman in the U.S. House of Representatives. He also represented the Commonwealth in the U.S. Senate.
Kumbuka huyo ni Governor, kama ingekuwa USA haijaungana huyo ndio ingekuwa President wa Virginia.
Halafu mpira hauna mipaka, wachezaji wengi duniani ni wanasiasa pia Pele, aliwahi kuwa Waziri wa Michezo, Romario sasa hivi ni mwanasiasa. Joel bendera aliwahi kuwa mchezaji, coach na sasa waziri na mwanasiasa.
Mkuu wa mkoa ni mtu wa michezo na unaupenda mpira na anataka aufundishe, kwani ukiwa mkuu wa mkoa ndio huwezi kufundisha somo unalolipenda? Unanchekesha. Halafu unaonesha una mawazo mgando yasiyopenda maendeleo.
Wewe nawe hata kwenye ukweli unapinga tu? mh utatetea hata kinyesi. Hatuko serious kwa lolote lile huo ndo ukweli wenyewe, kesho atateuliwa kuhudhuria semina ya ukimwi, keshokutwa kuhudhuria chanjo ya watoto ali mradi tu anaingiza per diem yake thats all ndo maana hatuwezi kuendelea chini ya mfumo huu wa sasa ambapo mkuu wa mkoa/wilaya hana maaamuzi yoyote kila kitu anamsikiliza rais. Kisha wanakaa dodoma kutafuta mchawi nani, hamjui kwamba huo mfumo mlio nao ndo mchawi mkubwa? Nyani haoni kundule ama kweli kifo cha nyani miti yote huteleza.
Siku hizi JF mtu akitaka thread yake ipate mvuto lazima atumie jina la FAIZAFOX!
Sasa katika hili FF anaingia vipi wakati TFF ndiyo imempa hiyo nafasi.
B.t.w unadhani kuwa mkuu wa mkoa maana yake hupaswi kuwa na hobbie? Obama anacheza sana golf na anaongoza linchi likubwa, sembuse mkuu wa mkoa!
Take it easy mdau...
Kwanza kabisa badilisha ID yangu sio Faizafox ni FaizaFoxy, waombe mods wabadili au nta report "name calling".
Pili nakuomba soma hii halafu fata link: WATCH: What Can Politicians Learn from the World of Sports? - BCNN1
George Allen knows a thing or two about politics.
He spent four years as the governor of Virginia and served as a congressman in the U.S. House of Representatives. He also represented the Commonwealth in the U.S. Senate.
Kumbuka huyo ni Governor, kama ingekuwa USA haijaungana huyo ndio ingekuwa President wa Virginia.
Halafu mpira hauna mipaka, wachezaji wengi duniani ni wanasiasa pia Pele, aliwahi kuwa Waziri wa Michezo, Romario sasa hivi ni mwanasiasa. Joel bendera aliwahi kuwa mchezaji, coach na sasa waziri na mwanasiasa.
Mkuu wa mkoa ni mtu wa michezo na unaupenda mpira na anataka aufundishe, kwani ukiwa mkuu wa mkoa ndio huwezi kufundisha somo unalolipenda? Unanchekesha. Halafu unaonesha una mawazo mgando yasiyopenda maendeleo.
duh ! GT wa sasa kiboko! mkuu wa mkoa hawezi kuwa kocha? uliongea naye hana mpango wa kuwa kocha??