Imekua kawaida ya mastaa wa kike ulimwengu kupiga picha za nusu uchi wakiwa wajawazito na kuonyesha matumbo yao wazi, style hii imejizoelea umaarufu sana hata kwa baadhi ya mastaa nchini Africa wamekua wakiiga mtindo huo.
Sasa hivi imekua zamu ya mwanamama aliyejipatia umaarufu baada ya kuzaa na mwanamuziki ambaye pia ni mbunge, mh sugu aitwaye faiza ally ,mwana mama huyo amejizoelea umaarufu kutokana na life style yake ya kukaa uchi bila kujali yeyote. Hata hivyo staa huyo ameibuka na picha tata akionyesha ujauzito wake wa sasa huku akifuraia ujio wa mtoto huyo mtarajiwa, pozi mnalionaje?? Kakosea au kapatia?