Si ban ya maisha nadhani..
Watakuwa waliona wanatofautiana kimitazamo na mods.. Wakaamua kujiondoa.. Ingawa Malaria Sugu nilikuwa nikitofautiana naye,ila alikuwa na burudani ya aina yake..
"Hii ndiyo JF na mimi ndiyo FF,Celebrity No 1 wa JF","unanchekesha","uje upate darsa","hujuwi,kama ungekuwa unajuwa".... Aah.. Huyu ndiyo nammiss kwa sana tu!