[emoji102] [emoji102] [emoji102]Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Hali yako bibieKwa uzi huu hakika ujinga ni sifa halisi ya Watanzania wengi.
Siwashangai.
Hahaaa......Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Mzima. Vikoment vyako vinifurahisha sanaPamoja sana Kiongozi wangu.
Vipi na Wewe?
Mzima lakini?
mkuu vipi umekutana nae nini[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125]
Hapana mkuumkuu vipi umekutana nae nini
maana we ni mtu hatari sanaHapana mkuu
Hahahaaa.maana we ni mtu hatari sana