Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku.
Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
Umejiunga jana hapa JF, leo hii unatangaza ndoa na FF!
Shame on you!
Huenda ana id zaidi ya 1 au alikua anaingia kama mgeni na kwa njia hiyo akajikuta moyo wake umemdondokea bibie na ili aelee hisia zake kaamua kujiunga kabisaaaa. Hebu tusubiri aje mlengwaUmejiunga jana hapa JF, leo hii unatangaza ndoa na FF!
Shame on you!
Huenda ana id zaidi ya 1 au alikua anaingia kama mgeni na kwa njia hiyo akajikuta moyo wake umemdondokea bibie na ili aelee hisia zake kaamua kujiunga kabisaaaa. Hebu tusubiri aje mlengwa
Jiandae kutafutwa na CIA au FBI huyo ni Samatha Lendowithe (white widow) anatafutwa kwa kufanya suicide bomb so wewe Jiandae kwenda Guentanamo bay