Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Mimi huwa naokotaga vimeo ila hapa bro kanizidi kwa kuokota kimeo
Kwa hiyo picha na kwa heshima ya sugu uamuzi sahihi ulifanyika ....fikiri![]()
ogopa stress za kuachwa alivaa mpaka pampas
Asara, huyu nae alikua mzazi mwenzie Mh eeeeh?![]()
ogopa stress za kuachwa alivaa mpaka pampas
Haaahaaahaaaa! Kweli kimeo hiki kimepitilizaMimi huwa naokotaga vimeo ila hapa bro kanizidi kwa kuokota kimeo
Hilo kubwa jinga nalo vitu vya kipuuzi kama hivi ndo fani zakeBila shaka hapo kwa mbaaaali namwona mkuu Le Mutuz akifanya yake (Naona anaandaa photo frame)...
Napita tu..